Chemsha bongo yangu ya leo hiyo

Chemsha bongo yangu ya leo hiyo

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,114
Reaction score
34,956
10632624_10154524098845198_6198512711021615354_n.jpg


attachment.php


Swali? Ukiambiwa uchaguwe kitoweo Kimoja wapo kati ya Kuku na Samaki Je utachaguwa kitoweo kipi? Je na ni kwanini? Nipe faida yake japo kidogo?
 

Attachments

  • fried-fish.jpg
    fried-fish.jpg
    401.3 KB · Views: 1,089
  • kuku.jpg
    kuku.jpg
    35.7 KB · Views: 329
Tachagua samaki ana virutubisho vya asili kuliko kuku ambaye kama si wa kienyeji ana sumu nyingi mwilini kutokana na kupewa vyakula vyenye vinasaba vyenye madhara ya baadae kwa binadamu
 
Tachagua samaki ana virutubisho vya asili kuliko kuku ambaye kama si wa kienyeji ana sumu nyingi mwilini kutokana na kupewa vyakula vyenye vinasaba vyenye madhara ya baadae kwa binadamu

Mkuu hujapata tetesi hata samaki wako broiler kibao?
Hahaaaaa
 
Samak ili itokee nn?
Kitu KUKU ... mbali na faida tukikutwa restaurant mimi napiga kuku wewe samaki nani yuko juu!
Hahahaaa...
 
kuku na samaki zote ni nyama nyeupe faida sawa ila kuku chaguo langu la kwanza
 
hawa kuku nimechoka nao,heri samaki.

ila asikuambie mtu tuliopo ughaibuni hatuenjoy kila kitu broiler.
but nyumbani unakutana kambare au sato halisi,ndo utajua raha ya msosi.
 
Kitu kuku hata utamu wake hauna shombo kama samaki..
 
Ntachaga kuku kwasababu sipendi shombo ya samaki.
 
Tachagua samaki ana virutubisho vya asili kuliko kuku ambaye kama si wa kienyeji ana sumu nyingi mwilini kutokana na kupewa vyakula vyenye vinasaba vyenye madhara ya baadae kwa binadamu

Eti kwani vinasaba ni nini? Maana nalisikiaga sana hilo neno!
 
Kitu kuku hata utamu wake hauna shombo kama samaki..
Inawezekana samaki akawa na faida nyingi mwilini ilihali ana shombo kubwa!

Mkuu mbona kunavitu vinashombo kubwa sana lakini mnavishabikia sana,na mpo tayari kuvinyonya vikiwa vibichi kabisa?
 
hawa kuku nimechoka nao,heri samaki.

ila asikuambie mtu tuliopo ughaibuni hatuenjoy kila kitu broiler.
but nyumbani unakutana kambare au sato halisi,ndo utajua raha ya msosi.
Mkuu nakubaliana na wewe Samaki ni bora zaidi!
 
kuku......natumia muda mfupi kumla kuku kuliko samaki napoteza muda mrefu kumla kukaa namchambua na kumbirubirua
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom