Chemsha bongo yangu ya leo hiyo

Chemsha bongo yangu ya leo hiyo

Samak ili itokee nn?
Kitu KUKU ... mbali na faida tukikutwa restaurant mimi napiga kuku wewe samaki nani yuko juu!
Hahahaaa...
Mkuu suala hapa siyo nani yupo juu,cha muhimu ni virutubisho!
 
Wananchi tuishinikize serikali kumaliza ajali za barabarani maisha ya watanzania yapo hatarini
Anzisha mada yako inayohusu jambo hili,hoja iliyopo mezani haihusiana na hiyo mada yako!jaribu kuwa mstaarabu!
 
kuku......natumia muda mfupi kumla kuku kuliko samaki napoteza muda mrefu kumla kukaa namchambua na kumbirubirua
Teh teh teh!upo sahihi!ulaji wa samaki unachangamoto zake,hatahivyo cha msingi ni virutubisho!
 
  • Thanks
Reactions: lin
samaki, kwasabu ana virutubisho vingi kuliko kuku...pia samaki nyama yake aina damu wala madawa kama ya kuku...
 
Mkuu mbona kunavitu vinashombo kubwa sana lakini mnavishabikia sana,na mpo tayari kuvinyonya vikiwa vibichi kabisa?[/QUOTE]


Hahaaaa, mfano na picha tafadhali
 
Tachagua samaki ana virutubisho vya asili kuliko kuku ambaye kama si wa kienyeji ana sumu nyingi mwilini kutokana na kupewa vyakula vyenye vinasaba vyenye madhara ya baadae kwa binadamu

Vinasaba? kingereza chake ni kipi?
 
mkuu hawezi kumpika fasta kumpika kama kuku hata uwe na mbinu kibao

Upo sahihi mkuu,pamoja na mbinu zote zilizopo,samaka anahitaji muda mrefu kumuandaa kuliko kuu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom