Chemsha bongo: Shilingi 100 iko wapi?

Acha maswali ya kitoto ww! Sh 100 ipi unayoulizia? Kama wale umewarudishia 100 kila mmoja basi wao watadhan wamekuchangia 4900kila mmoja, lakin kumbuka ile 100 ambayo umechakachua ipo ktk hizo 4900 za kila mmoja! Kwa maana hyo ukiito hiyo 100 ina maana kila mmoja atakuwa amechanga 4850! Sasa chukua hiyo 4850x2+200(100 ulizowarudishia)+100 uliyochukua! Kuna haja ya kuweka jibu...?
 
Mkubwa mbona unaua sisimizi kwa kifaru,
Nihv, umekopa 10000, ukanunua nguo 97,000 na chenji 300
ukalipa Deni 200 ukabk na den 9800 wew unamia, ukilip ile 100 utbk unadaiwa 9700 ambayo ndo nguo uliyonunua.
@ zs point my grand mother cn run trial
Yap!

Lets try and see......alikopa pesa tuna debit assets(cash) 10,000 na ku credit wadeni kwa same amount. Aliponunua nguo tuna debit assets(nguo) 9,700 na ku credit cash kwa same amount. Aliporudisha deni kiasi, tuna debit wadeni kwa 200 na ku credit cash kwa same amount. At this point aki run trial balance, itasomeka hivi: cash dr 100 (=10000-9700-200); nguo dr 9,700; wadeni cr 9,800(=10,000-200). Sum of dr 9,800 and sum of cr 9,800. Mali alizonazo (cash na nguo ) zinalingana na deni alilonalo! Utaona kuwa kwenye hilo swali lako kwa makosa umejulisha deni na mali ili kupata kiwango cha deni!

Sina hakika kama inaeleweka.....shule nimetoka kitambo!
 
Kweli wewe mhasibu, lakini mbona hujaonyesha punguzo/discount ilikoenda?
 
Najua unaniheshimu mzee. Lakini huku si ndiyo tunapopunguzia hasira zetu za kule kwenye kuulizana nchi yetu inakwenda wapi? Kwani wewe hujui kwamba hata Stephen Wasira naye huwa anapenda kucheka?

Jana ilikuwa ni Birthday day yangu ndiyo mwanangu akanipa lile swali kama zawadi yangu ya kuzaliwa!!

Sasa Wasira kaingiaje hapo?
punguza Ny****e, utacamerun***wa siku moja kupitia milango yako yote mitano ya fahamu.
 
alisemalo mtu ndilo lenye limemjaa kumoyo.
Nashukuru kwa kushea nasi expirience yako ya milango mitano ya fahamu...
 
Yap!

Lets try and see......alikopa pesa tuna debit assets(cash) 10,000 na ku credit wadeni kwa same amount. Aliponunua nguo tuna debit assets(nguo) 9,700 na ku credit cash kwa same amount. Aliporudisha deni kiasi, tuna debit wadeni kwa 200 na ku credit cash kwa same amount. At this point aki run trial balance, itasomeka hivi: cash dr 100 (=10000-9700-200); nguo dr 9,700; wadeni cr 9,800(=10,000-200). Sum of dr 9,800 and sum of cr 9,800. Mali alizonazo (cash na nguo ) zinalingana na deni alilonalo! Utaona kuwa kwenye hilo swali lako kwa makosa umejulisha deni na mali ili kupata kiwango cha deni!

Sina hakika kama inaeleweka.....shule nimetoka kitambo!

Kaaaaaz kwel kweli..... Wana isabat mpoooooooo....!!!!!!
 
ingawa sijaelewa ila unajua kutumia elimu yako kwenye maisha.salute.
 
Umekuta nguo inauzwa 10,000 ukaenda kwa dada na kaka yako kila mmoja akakukopesha 5,000, ulivyokwenda kununua nguo ukakuta bei imepungua inauzwa sh 9700, ukarudishiwa 300, ulivyorudi home ukaamua kupunguza deni, dada ukampa 100 na kaka 100, sasa dada anakudai 4900 na kaka 4900 jumla unadaiwa 9800, ukijumlisha na 100 ulobaki nayo jumla kuu ni sh 9900, sasa 100 nyingine imekwenda wapi ili itimie 10,000?
 
We chukua hiyo mia kampe dada akalipe deni la mafuta ya taa dukani. Unaibania yako ?!
Unadaiwa 9800 hiyo ni -ve.
Una 100 ya chenji hiyo ni +ve.
-9800+100 = 9700.
Siyo 9900 Mkuu.
 
hapo umetutega tu lkn jibu lipo wazi
100 aliyoamua kubaki nayo yeye ndio deni linalo baki
maana deni 9900 akijumlisha na 100 aliyobaki nayo inakuja 10,000.
 
Bei ulonunulia nguo ni 9700, ukiigawa kwa mbili utapata sh. 4850, maanayake ulitumia 4850 kutoka kwa kaka na the same amount kutoka kwa dada, so kilammoja alikuwa anakudai 150, na wewe una 300, ukiwapa sh.100 kila mmoja utakuwa umerudisha 4950 na kubakiwa na deni la sh. 50 kwa kila mmoja ambayo ndio hyo sh. 100 ulobakiwa nayo.
 
Wadau hebu tuchemshe ubongo kidogo kwa swali la kizushi lifuatalo.

"Kuna nguo inauzwa 10,000/= na wewe unaipenda ila hauna hiyo pesa hivyo ukaamua kwenda kukopa kwa Rafiki yako 5,000/= na kwa Dada yako 5,000/= na ukafanikiwa kuipata hiyo 10,000/=,ulipokwenda dukani ukafanya maelewano na muuzaji na akakubali kukuuzia kwa 9,700/= na akakurudishia 300/=.Ukaamua kupunguza deni kwa rafiki yako 100/= na kwa dada yako 100/= na wewe ukabakiwa na 100/=.Hivyo ukabaki na deni la 4,900/= kwa rafiki yako na 4,900/= kwa dada yako ambapo inaleta jumla ya 9,800/= ukiongeza na 100/= yako uliyobakianayo inaleta 9,900/=.Je shillingi 100/= imekwenda wapi katika mahesabu yako?."
 
huwezi kujumlisha 100/= kwenye 9800/=, unatakiwa kujumlisha 200/= uliyotumia kupunguza deni kwa rafiki yako na dada yako, hope umenielewa
 
Back
Top Bottom