Chemsha bongo: Shilingi 100 iko wapi?

Kwa kuwa mmenipa mji Arusha nitawajibia hili swali lililowagonga,
Kama ulikimbia bookeeping shauri yako, equation ina balance kama ifuatavyo;

On the asset side kuna cash on hand sh. 100 na nguo uliyonunua (stock) sh. 9,700 total sh. 9,800.

On the liabilities side kuna deni la dada sh. 4,900 na deni la kaka sh. 4,900 jumla ni sh. 9,800.

So mizania yetu imebalance, na hakuna mia inayopungua au kuzidi sehemu.

Na mna bahati mmenipa mji Arusha mngenipa miji kama singida,lindi,ruvuma,kigoma,musoma msingepata kitu hapa.teh teh!

Bushbaby;Karibu Arusha kaka, ila kuna kamvua na baridi balaa!!
 
Mimi navaa nguo za mitumba grade four so ungeniuliza kuanzia sh 3500 kurudi chini ningekupatia jibu fasta.
 
Nguo inauzwa sh.10,000 na unahitaji kuinunua lakini hauna pesa,unaamua kwenda kumkopa kaka yako sh.5000 na dada yako sh.5000.
Unapokwenda kununua nguo ile unakuta bei imeshuka na kuwa sh.9700.Unanua kwa sh.9700 na kurudishiwa sh.300 kisha unaamua kupunguza deni kwa kaka yako unamlpa sh.100,na dada yako pia unamlipa sh.100!hvyo ukabaka unadaiwa 4900 kwa kaka yako na 4900 kwa dada yako yoo ukijumlisha ni sh.9800 + ela uliyobakiwa nayo sh.100=9900!swali sh.100 imeenda wapi yoo?
 
Yaani hili swali huwa linanichanganya mpaka baasi....hako kamia kakaenda waaaaapi??
 
IIIIISH...yaaan wooote nyie vichwa maji...hiyo si ulitumia kwenye nauli..??!! umesahau kama ulikuwa na 200 tu mfukoni kabla hujaenda kukopa!!? sasa je...!!?
 
Read me well:
Total received: 10 000 (from siblings)
Total spent: 9 700 (nguo) and 200 (kupunguza deni)
Balance: 10 000- 9 900=100 (mfukoni)
 
Yaani hili swali huwa linanichanganya mpaka baasi....hako kamia kakaenda waaaaapi??

Mbona hiyo hisabu ni cha mtoto sana.

Kwa maelezo yako kuwa umekopa 5000 x 2 = 10000, kwa watu wawili tofauti:

Kaka: 5,000
Dada: 5,000
Jumla: 10,000

Nguo inauzwa 9,700

Umerejeshewa: 300
Umetoa 100x2=200

Umebakiwa na 100

Hapo ni hivi:
Hiyo 9700 unaigawanya mara mbili, unapata 4850 ambayo ndio pesa halisi uliotumia toka kwa kila mmoja. Umerejeshewa 300 na kuwapa kila mmoja 100 na kubakia na 100 ambayo unapaswa uigawanye mara mbili na kuwapa kila mmoja 50

Kwa hiyo hapo baada ya kuwarejeshea 100 kila mmoja na ile mia uliyobakia nayo ukiigawa mara mbili utawapa 50 kila mmoja na deni litakalobakia kwa kila mmoja ni 4850 x 2 = 9700 + 150x2 = 10,000
 
Umetumia 4850 ya kaka yako, na 4850 ya dada yako kununua nguo.

Ukiwarudishia mia mia unkua umetumia 4850 ya kaka yako dukani/gengeni, na 100 ya kaka yako kwake yeye kaka yako, jumla 4950.

Utakuwa pia umetumia 4850 ya dada yako dukani/gengeni, na 100 ya dada yako kwake yeye dada yako, jumla 4950.

Jumla ya hela ulizo tumia ni 9900, na umebakiwa na mia mfukoni.

In other words......hiyo mia imeenda mfukoni mwako!
 
Siyo jibu mkuu,mia haipo mfukoni boil again your brain yoo
 
Unataka kwenda kununua nguo dukani, nguo inauzwa shilingi 10,000, huna pesa kwa wakati huo so unaamua kukopa 5,000 kwa dada na 5,000 kwa kaka. unapoenda dukani unakuta nguo inauzwa 9,700 so unarudishiwa 300. unaamua kupunguza deni, unampa kaka shilingi 100 na dada 100 na wewe unabaki na 100. kwa hiyo kaka anabaki anakudai 4900 na dada 4900. ukichukua 4900 ya kaka na 4900 ya dada inakuwa 9800, ukiongeza na 100 yako inakuwa 9900. je mia imekwenda wapi?
 
unataka kwenda kununua nguo dukani, nguo inauzwa shilingi 10,000, huna pesa kwa wakati huo so unaamua kukopa 5,000 kwa dada na 5,000 kwa kaka. Unapoenda dukani unakuta nguo inauzwa 9,700 so unarudishiwa 300. Unaamua kupunguza deni, unampa kaka shilingi 100 na dada 100 na wewe unabaki na 100. Kwa hiyo kaka anabaki anakudai 4900 na dada 4900. Ukichukua 4900 ya kaka na 4900 ya dada inakuwa 9800, ukiongeza na 100 yako inakuwa 9900. Je mia imekwenda wapi?

mimi sijui
 
Unataka kwenda kununua nguo dukani, nguo inauzwa shilingi 10,000, huna pesa kwa wakati huo so unaamua kukopa 5,000 kwa dada na 5,000 kwa kaka. unapoenda dukani unakuta nguo inauzwa 9,700 so unarudishiwa 300. unaamua kupunguza deni, unampa kaka shilingi 100 na dada 100 na wewe unabaki na 100. kwa hiyo kaka anabaki anakudai 4900 na dada 4900. ukichukua 4900 ya kaka na 4900 ya dada inakuwa 9800, ukiongeza na 100 yako inakuwa 9900. je mia imekwenda wapi?

wazee PCM,EGM vipi mmezimia?
 
Back
Top Bottom