Dark City
JF-Expert Member
- Oct 18, 2008
- 16,252
- 11,652
Babu huyu ni kijana wa chuo aliwahi kuuliza kwa nini wanawake wanapenda sana wanaume waliosoma udsm lol
mwache tu atengeneze course work kwa sasa maana kitabu kigumu asije kusapu bureee
Akigraduate tutampa mwongozo wa kumwelewa mwanamke
"how to understand a woman" volume 1 hadi 10
Ahsante kajukuu. Nakupa offer ya hadithi za babu kuanzia saa 3 hadi 6 usiku wa leo.
Waweza kuchagua pia kupata hizo story kutoka kwa Kaizer au Asprin.
....hapa sijampigia mtu pande.....lol!!
Last edited by a moderator: