Chemistry ya wanawake inanichanganya sana jamani

Una umri gani tang'ana?

Naomba wamiliki wa JF tukimalizana na uchaguzi watuwekee jukwaa la wavulana na mabinti.

Ingekuwa vizuri tukawa na MMU- boys and girls na MMU originale (kwa wahitimu na wastaafu kama Babu)...Lol!!

cc Invisible

Ndio maana nakumisigi sana babu.
 
Last edited by a moderator:
Kwenye bidhaa una bargain sembuse mwanamke! Utafikiri upo supermarket bwana kitu ni bei fulani yoi take it or leave it? Lol. Mwanamke anatongozwa (mara nyingi), na kutongoza ni kama umeleta proposal. Mtu shurti aisome, aielewe kama vipi ndo atakubali. Sasa hujaisoma hujaielewa tayari unataka a sign contract mkuu?! Lol kaazi kweli kweli. Komaa nao kodogo mkuu!
 
Babu heri hata wewe umesoma....nisimukie uzi wahusu nini huu....mie mwandiko umenichosha

Una umri gani tang'ana?

Naomba wamiliki wa JF tukimalizana na uchaguzi watuwekee jukwaa la wavulana na mabinti.

Ingekuwa vizuri tukawa na MMU- boys and girls na MMU originale (kwa wahitimu na wastaafu kama Babu)...Lol!!

cc Invisible
 
Last edited by a moderator:
Personally naamini kutumia muda wako kumjadili Mwanamke ni kupoteza muda wako ww kama mwanaume. Chemistry ya Mwanamke ni very simple, Do not Love her... Just Love your product(mtoto mliozaa). Kiuhalisia, Mwanaume unatakiwa ujitahidi ktk kutafuta, upate mafanikio, kisha hayo mengine wala hayatakutesa. Kuna jamaa mmoja aliwahisema kuwa, woman are nothing but means to produce childrens.

Ni pasua kichwa. Soma, Fanya kazi, pata Pesa, maendeleo, jiweke vizuri psychologically. Na usipende jamani ni hatar sana kupenda mwanamke.
 
umri wangu unahusika vip hapa mkuu
 
Dah! So sore is your soul bro. You need a hug. atoto, be kind please.
 
Last edited by a moderator:
nina umri wa kutosha kuniruhusu kupiga kura na ambao katiba inaniruhusu kugombea ubunge.

Sawa. Kwa vile unajiandaa kupiga kura kwa mara ya kwanza (Virgin voter) tunakupa benefit of doubt kwa kile ulichouliza. Ila this time baada ya awamu ya tano utakuwa GT wa MMU.

Hatuwezi kukulaumu na ndiyo maana nimewasihi wajukuu wangu watiifu wakusaidie. Halafu wale ambao sina imani na menu zao sijawaita.

Cc atoto, Evelyn Salt, BADILI TABIA

Na Mzee mzima aliyekesha na wajukuu, Kaizer ukuje tuanze Kazi ya kudance na wajukuu.
 
Babu huyu ni kijana wa chuo aliwahi kuuliza kwa nini wanawake wanapenda sana wanaume waliosoma udsm lol
mwache tu atengeneze course work kwa sasa maana kitabu kigumu asije kusapu bureee
Akigraduate tutampa mwongozo wa kumwelewa mwanamke
"how to understand a woman" volume 1 hadi 10
 
Kumbe TABIA Kwa KiEnglish Ni CHEMISTRY.Sikuwah Kujua..
Basi Nitawaambia Wadogo Zangu Na Marafiki Zangu Waache CHEMISTRY Mbaya Haswa Leo Jumapili.
 
Sikumbuki mara ya mwisho kukaa chini na kuanza kutongoza.
Wengi tunajikuta tunadate bila hata kuambiana.
 
JF burudani hazi ishi..... good..... Walikubali kiaina hukuwaelewa tu.
 
Back
Top Bottom