Uso wa nyoka
JF-Expert Member
- Mar 17, 2014
- 4,791
- 2,381
haya ndiyo yaliyokua mawazo yangu mwanzo mkuu,maana pia ingekua ngumu natoka na manzi tunaenda kula bata natumia gharama zangu then status ya uhusiano wetu inakua haieleweki.
Ni kweli Mkuu, huwezi kufanya mambo kwa assumptions tu, ni vyema kujua ili ujue uliposimama ni wapi. Ukijiendea tu ndio yale ya kuja na thread kuwa amekula pesa zako halafu hataki kutoa mzigo, kumbe ulipaswa kuhoji na kupata clear answer kabla ya kujitumbukiza mzimamzima.