Utongozaji wako ni wa kitoto sana yani wa Secondary labda ningejua umri wako ningeweza kukujibu kama unasoma kazania masomo kwanza kwa sasa hayo mapenzi weka kando yapo na utayakuta, Ila kama ni mtu mzima ni kwamba huwajulii wanawake ndo mana huwaelewi, hao wote 2 walishakukubali kama ulivyoeleza na wachangiaji wengine tatizo lako unataka kujibiwa kama uko kwenye interview hapo kwa papo, ukiambiwa nitakufikiria Jibu hivi "chukua muda wako usijali, mimi nimeshakuchukunguza naona unanifaa na wewe chukua muda wako kunichunguza uwe na maamuzi sahihi. ila usichukue muda mrefu sana nitakuwa nateseka" Ndani ya kipindi cha kusubiri majib hapo ndo unaongeza ukarib zaid n.k. LAKIN KUJIBU KUWA HUNA MUDA WA KUSUBIRI NI WAZI HUKUWA NA MAPENZI BALI ULIKUWA UNAWAJARIB NDO MANA MARA YA PILI WALIKUTIMUA, WAMEKUONA NI KAMA MCHEZEAJI NI WALE WAKULA NA KUSEPA.