Na kweli chemistry zao huzielewi kama huyu alikata gogo mbele yako
hahahahaaaaaaaa mkuu Kipilipili umeua.........
Last edited by a moderator:
Na kweli chemistry zao huzielewi kama huyu alikata gogo mbele yako
hivi kwa nin msianzishe thread ya hzo story zenu mkuu?
Mkuu tang'ana wewe mwenyewe ulikuwa una sound za kiboya za enzi za Mwalimu Nyerere, wewe utamtongozaje demu halaf uckilizie majibu na kumkumbusha ombi lako utafikiri ulipeleka barua ya maombi ya kazi!!!
Ilipaswa ukishamtongoza au hata bila kumtongoza unakaribisha gheto unakula vitu kiulainii!? No wonder hata hao mademu walikuona boya ndio maana hawataki kukusikia tena.
Umeaibisha chama la Wana mkuu!!
Hahahaaa!! Jamani ndio nini kunioverdozia kizee changu hadi kakimbia kaacha na kiatu!!! babu Dark City kweli nimeamini hii revange itanifaa.
Hahahahahah,
Unazikumbuka zile hesabu za darasa la 2 za kutoa kwa kuazima na kujumlisha kwa kubakiza?
Basi zitumie kukokotoa kilichompata mtu aliyekuwa hewani mida ya jogoo kuwaka ila hajaamka hadi sasa.
Hahahaaaa!! Hii hii thread ndio inatufaa maana hamna namna, we si ushasema huijui chemistry wala civis ya wanawake? Na tushakupa majibu kuwa hutokaa uijue so acha tuongelee vya msingi now.
Personally naamini kutumia muda wako kumjadili Mwanamke ni kupoteza muda wako ww kama mwanaume. Chemistry ya Mwanamke ni very simple, Do not Love her... Just Love your product(mtoto mliozaa). Kiuhalisia, Mwanaume unatakiwa ujitahidi ktk kutafuta, upate mafanikio, kisha hayo mengine wala hayatakutesa. Kuna jamaa mmoja aliwahisema kuwa, woman are nothing but means to produce childrens.
Ni pasua kichwa. Soma, Fanya kazi, pata Pesa, maendeleo, jiweke vizuri psychologically. Na usipende jamani ni hatar sana kupenda mwanamke.
Maamuzi yako yalikuwa sahihi, mtu umejieleza bado mtu anaremba, unaaga kuwa bora ukae mbali, hasemi chochote na anakubali uondoke, status ya uhusiano wenu haieleweki, una sababu gani ya kukaa kwenye huo uhusiano?
Kama mtu anashindwa kukwambia hisia zake au msimamo wake juu yako hata kwa text tu, kuna kiashiria gani kitakachokuonyesha kuwa amekubali ombi lako au anahitaji kukaa katika uhusiano huo?
Ikumbukwe pia kuna cases nyingi sana za watu walioshtakiwa kwa kubaka kwa kudhani walikuwa wamekubaliwa maombi yao ya kimapenzi kwa walio washitaki. Pia kuna wengi tu wanaotangaziwa mitaani na kutukanwa kuwa wanajipendekeza kwa madada fulani huku wao wakidhani wanapendwa. Sasa utatifautishaje hizo hali na kukubaliwa ambako ni kwa kweli wakati hujaonyeshwa kuwa unatakiwa? Si ndio mambo ya kutangaziwa kuwa unachunwa wakati mwanamke hakutaki?
Aisee wewe ni kichwa sana. Ngoja nimwambie bibi ajiandae tukupigie dua!
Usisahau kuwastua wadogo zako ili wewe makini na boys wanaotaka mambo mazuri na matamu prematurely.
we sema hujui kutongozasikujua bado kuna watu wanatongoza karne hii. Ndo maana swali la umri wako lilikua na mashiko