Chelsea leo wanaanza ligi baada ya Kombe la Dunia, Fulham atakufa nyingi

Wakali wa London, Chelsea leo wanaanza likizo baada ya likizo ya Kombe la Dunia.

Ni mchezo wa derby ya London ya Magharibi, Fulham Vs Chelsea.

Baada ya kipindi cha muda mrefu Chelsea kupitia magumu kwa kutokupata matokeo mazuri leo Fulham atakufa goli 3.

Wale mashabiki wa timu nyingine mlioanza kuicheka Chelsea kaeni chonjo, its time for Potter Ball
Ngapi ngapi matokeo huko!!??
 
Wataalam tulijua tu
Screenshot_20230113-005022.jpg
 
Wakali wa London, Chelsea leo wanaanza likizo baada ya likizo ya Kombe la Dunia.

Ni mchezo wa derby ya London ya Magharibi, Fulham Vs Chelsea.

Baada ya kipindi cha muda mrefu Chelsea kupitia magumu kwa kutokupata matokeo mazuri leo Fulham atakufa goli 3.

Wale mashabiki wa timu nyingine mlioanza kuicheka Chelsea kaeni chonjo, it's time for Potter Ball.
Kwahiyo ndo mmeanza ligi rasmi au mmeanzia pale mlipoishia?๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐ŸคฃKuna vitu vingine hata ukienda Kwa mganga atakuambia hili hata mizimu imegoma jaribu kwingine
 
Back
Top Bottom