Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

kama kumsukuma mlevi vile, watoto wa darajani mwaka huu kombe letu hilo
 
Leo wangekuwepo Drogba na Lampard mngeshinda 7
 
inawezekana, lkn sio mbaya. point 3 kwapu, arsenal wamefulia leo!
 
Tumeishaziweka kibindoni hizi 3 za leo macho na masikio yetu ni Emirate..
 
wadau wa 'darajani' tukutane hapa!

mwaka huu ni ubingwa tu!
 
ndo manakeeeee Chelsea iko kiwango cha juu sana
 
mbona mnachanganya habari thread kibao au hii ya champions league? lol haya hongerini kwa kufungua tawi jipya ndani ya JF.sasa hivi mtajenga makundi kama yanga lol.
 
mbona mnachanganya habari thread kibao au hii ya champions league? lol haya hongerini kwa kufungua tawi jipya ndani ya JF.sasa hivi mtajenga makundi kama yanga lol.
mbona wewe unakula ugali wa muhogo na mboga zenye chumvi? hapo hauchanganyi mambo?
 
hizi thread ziunganishwe na ile original ya the Blues
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…