Skillionare
JF-Expert Member
- Nov 6, 2011
- 1,190
- 528
Marbor ni team ya kushangilia kuifunga kweli?Kaa kwenye TV yako uone mechi ya ukweli ya MAJOGOO kesho!Eti Marbor ehehehehe
Naona jukwaa limejaa kutokana na hali kuwa nzuri hapo darajani hadi sasa….jukwaa hili ubaki bageshi Ntuzu pekee yake…endeleeni kufurahia...
shemeji salama kabisa; umepotea sana...
vipi maisha? sisi tuko sawa kama kawaida..tunaongoza ligi kwa roho safi.
Mimi ni mfungaji Mimi nimfungaji wa magoli ya mbali,wa magoli ya mbali,Mimi naona neti,mimi naona neti kwa mashuti makali,mashuti makali *2.
Morinho anasema wote kimya,atakayonena hapa yatamgusa anayejua mpira,
Hapo ulipo,kama we man u kwanini
Ushindi uwepo,mechi zote draw na Chelsea NNE ziro lazima iwepo.
Unayedhani darajani utashinda tunakuweka kapuni,kama Liverpool tuliwaweka kapuni.
Arsenal tuliwafunga-- haipendezi
Man city tuliwakimbiza --haipendezi
Timu zote chali --haipendezi.
Mashabiki ya nini kujifariji,.
Wakati Chelsea inapeta hadi jijini
Kwa mujibu wa sheria za patent rights umeiba kazi za msanii wa Morogoro Afande Sele "Baba Tunda" na kuzifanya kama ni kazi zako!Kijana utafungwa kama utaendelea kutumia kazi za watu bila ku cite ni wapi na nani mwenye kazi hii!!
Kuimba kote huku sababu umemfunga Marlboro jana?

Washabiki wa hii timu ya Ubungo (yanapopaki mabasi) wanaichukulia poa sana kama sio kiurahisi game yao pale OT.
Dakika 90 zitawashangaza wengi na bado nafikiria jukwaa lipi nijivinjari siku hiyo.... Humu kuwaona vile mnalia au niwepo nyumbani nikisaidiana na Nzi & Bulldog kuokota mipira langoni mwa Čech

Mbona unapata tabu mkuu?
Sisi tunakuja OT bila Shaka wewe unapaswa kukaa ktk Uzi wako kule na sisi tutakuja....!
Km Mimi tayari nimeshaweka kambi kwenu kitambo tu......!
Leo ni ijumaa, kesho ni jumamosi na keshokutwa ni j2 siku ya game....!