Kunguru Mjanja
JF-Expert Member
- Aug 22, 2012
- 2,047
- 3,980
- Thread starter
-
- #18,401
Na tuanze kusaka signature ya one good right back...Iva is over 30 mambo ya kutegemea mkataba wa mwaka mmoja mmoja sio.
Next summer though...this season we are good. Terry is good..a leader..legend....but ts time we started phasing him out slowly!!!
Terry anapata msaada toka kwa akina Ramirez na Cahil tofauti na Metusaker na Arteta ambao wote ni njia ya lami
Wale jamaa wenyewe hawakuamini kama wangepata hata goli moja ndio maana walifurahia sana walipoona ni draw. Kwao ilikuwa kama kushinda kombe.
Mimi nadhani tuanze kutafuta signature ya good left back, maana right back yupo Azpilicueta..... kushoto ndo majanga ambapo yupo Felipe Luis na ana miaka 29 kwa sasa.....
Hapo kwa Terry nakuunga mkono,
Hivi Ake anacheza ngapi?
Chelsea msimu huu sioni taji. Alimcheka Wenger sasa Mourhnio zamu yake ya kunyolewa imefika.
Chelsea hawezi kubeba taji lolote kwa kumtegemea striker mmoja tu!
Hahaa.. Mnaziba macho eeh.. Remy vipi? Tumekamilika, kuna wale jirani zetu wenye Giroud, Sanogo na Welbelk :A S wink::A S 109:Chelsea msimu huu sioni taji. Alimcheka Wenger sasa Mourhnio zamu yake ya kunyolewa imefika.
Chelsea hawezi kubeba taji lolote kwa kumtegemea striker mmoja tu!
Hahaa.. Mnaziba macho eeh.. Remy vipi? Tumekamilika, kuna wale jirani zetu wenye Giroud, Sanogo na Welbelk :A S wink::A S 109:
clash of the Titans
Chelsea msimu huu sioni taji. Alimcheka Wenger sasa Mourhnio zamu yake ya kunyolewa imefika.
Chelsea hawezi kubeba taji lolote kwa kumtegemea striker mmoja tu!
Na kesho tukianza ivi.. wapinzani wameumia, na kiungo cha man city kilivyopotea asee..
mimi bado nalia na kipa .......... kuna umuhimu w kumrudisha czech kuwa no.1
Grand PA
Schurrle ni mzuri kama sub sio wa kuanza, hapo kulia aanze Williams
Nakubaliana na ww!" huyu schurrle ni mchezaji wa mechi moja moja, hayupo constant! anaweza akangaa kwenye moja inayofuata akaboronga mbaaya ............Schurrle ni mzuri kama sub sio wa kuanza, hapo kulia aanze Williams
Grand PA sioni kama kipa ni tatizo, though tunajua uwezo wa cech. Kuna tatizo kwnye mabeki, sielewi ni coordination mbovu au nini? But nadhani huu ndo utakua msimu wa mwisho wa Terry.