Swansea wanakutia Nuksi LEO!!!
Nna AGENT wangu kutoka LFC middle pale..lazima akuletee UGUMU!!
Manake yule bwana huwa anacheza kwa KUKAMIA!!!!
nimemkubali huyu jamaaView attachment 185089 mshambuliaji hatari wa clabu ya chelsea diego costa ameanza kuonyesha makali yake, na kuwathibitishia wapinzani wake ambao walimponda na kumwambia si kitu kuwa habaatishi, mshambuliaji uyo raiya wa spain mpaka sasa anaongoza kwa kupachika mabao katika ligi iyo kwani mpaka sasa ameshatupia mabao sita ,
asante mkuuNi magoli saba mheshimiwa.
CHELSEA FC - FOREVER BLUE.
sasa ngoja tumfuate SHALKE 04. UEFA CHAMPIONS LEAGUE.
tukimalizana na Wajerumani ..MAN CITY wajiandae.:whip:
Kijeba
pole mkuu Mos Def..
Hiyo ndio machine mbadala wa simba Mzee. Angalia hata ushangiliaji wake kama simba mwenyewe.
Na msaidizi wake Loic remy nae motoooooooo. Wallah mtatukoma mwaka huu.
Bado ma assist wa ukweli akina Cesc na dribler hazard dah sioni wachovu mtatokea mlango gani mwaka huu
maneno tu hayo u can stop rain?Ngoma ikivuma sana haichelewi kupasuka.Subiri
Timu imekuwa nzuri ndio maana hata Tajiri mwenyewe kwenye mechi za Home amekuwepo uwanjani. Na anaona hela yake ikizaa matunda. Striker anastrike kweli. Next week anaweka record yakufunga 5 games in a row. Hadi sasa yeye ndo anaongoza kwa magoli mengi Ulaya.
Costa mnyamaaaaaaa.
unaonaje kama January kwe dirisha dogo mkatuuzia Man U aje akutane na World classic players pale maana pale naona kama anafanya kazi kubwa sana ambayo muda si mrefu atachoka,na ukizingatia Chelsea huwa hawakumbuki mazuri uliyowafanyia (Refer:A.Cole,Essien,De Mateo etc).Maana sasa ndo anabeba team.