Duh Taratibu shemeji, ina maana wewe Haumo humu?
Atatukubali tu huyu.
Sisi ndio sisi team with special spirit
View attachment 184528
"Kwa uonavyo wewe nani mkubwa hapo??
*****
Nimeikuta sehemu na sio mbaya nikiwauliza kuhusu huyu ndugu yenu....
View attachment 184528
"Kwa uonavyo wewe nani mkubwa hapo??
*****
Nimeikuta sehemu na sio mbaya nikiwauliza kuhusu huyu ndugu yenu....
Mke mwenza kumbe upo huku? Kwa hapo umenipiga bao...sitii neno
Diego Costa 3 matches; 4 goals
Vizuri naona mmeshabeba EPL tayari kwa hizo goli zake nne
nimeamia airtel mke mwenza kwani mwakani nataka nijikite kwenye kinyang'anyiro cha kugombea urais wa FIFA ndo maana nimeanza mapema bestito,
inauma eeh?:wacko:
ladyfurahia karibu; mentor hajambo?:wacko:
Unakoelekea siko..
ladyfurahia karibu; mentor hajambo?:wacko:
Unakoelekea siko..
Wapi huko?