Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

oshea anamfanfia faulo alhaj anelka

free kick
 
kama una access na tv plus ya chelsea

unaweza chek game online
ni hela lakini sio bure
 
chelsea wanafanya mashambulizi hasa, dk 27 anelka kidogo amuue ibilisi(mashetani)
 
mwanangu blanca analia hapa ngoja nimpelekee mama yake
 
carick kapiga shoot 25 yard lakini inakuwa fyongo
 
Ebana Man U wamepoteza nafasi muhimu hahaha... Kidogo nizime pc hahaha
 
Jamaa wamechoka choka. Naona Capello naye kawapiga mkwara baadhi ya wachezaji.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…