Kunguru mjanja, Viol, Grand PA na FUSO mtamsaidia Ntuzu...mnasemaje?
Naunga mkono hoja! kwa hiyo majukumu yangu na ya mentor yanafanana kwenye mambo ya 'mapicha' eeh?
safi sana.. sasa wasaidizi mbona hujaweka?
Wakuu wa darajani nawapa respect, salamu na hongera kwa ushindi dhidi ya Burnley...
Mkuu ni kweli kabisa!
Wasaidizi ni familia yote ya chelsea ktk kila mwenye uwezo wa kufanya hivyo! Lkn kwa wewe na Mentor mko hapa jf kila siku hivyo basi mnaliweza hilo jukumu vzr
NAFASI YA RAMIRES
kwa kikosi chetu cha sasa ni rahisi sana kufikiri kwamba RAMIRES hahitajiki. Lakini ngoja nitaje mambo machache ambayo yatafanya kijana huyu 'wonder boy' aendelee kula maisha CHELSEA FC.
1. Ramires ni box-to-box midfielder.
2. Ramires anaweza kucheza pembeni{nafasi za Hazard,Willian na Salah}
Ramires ana mbio kuliko Mikel na Matic..kwenye mechi ambazo tunahitaji kuongeza mashambulizi yetu kwa haraka Ramires anafaa.
Ramires anafaa kwneye mechi ambazo 'tunahitaji' nidhamu ya kukaba. MFANO. Chelsea Fc vs Barcelona-2012{semi-final}
Mkuu agosti 8 ktk jukumu lako hilo unalifanya vzr sn mkuu!
Na ktk kuongezea nyama ktk hoja yako! Kikosi cha timu hupangwa kulingana na timu ambayo unakutana nayo! Na hapo ndipo unaweza ukaona ni mchezaji gani anafaa kupangwa na nani asipangwe!
Ramires ni mchezaji muhimu sn kwetu! Atakuja cheza kutokana na timu tutakayokutana nayo!
Naona wazee wa darajani mshaanza kushangilia ubingwa in August...
Lakini tuna 37 games na miezi 9...
Asante mkuu Ntuzu..
mbali na kujadili mfumo nitakuwa najadili nafasi ya kila mchezaji katika kikosi chetu na umuhimu wake.
pia nitakuwa nalinganisha na vikosi vilivyopita au ma-legends waliopita.
Maana hii timu mie naijua kwa miaka mingi sasa..ntatoa mchango wangu pale panapopungua nyinyi pia mtaongezea tena napenda mijadala yetu iwe ya kitaalam kama 'great thinkers'..ili tufurahie mpira.
Ni kweli mkuu bado..mechi 37 lakini si vibaya kuwa na 'matumiani' kutegemea na hali halisi ya sasa.
hata katika mambo ya uchumi hilo linakubalika kabisa si mpira tu.
sasa sisi tunapotazama CHELSEA ya jana; ni tofauti sana na Chelsea ya mwaka jana. hata wachambuzi wengi duniani wanaofuatilia ligi ya Uingereza wamekiri kwamba Chelsea ina nafasi kubwa kuwa bingwa ikifuatiwa na Man City.
mkuu wa Liverpool karibu sana; pongezi zako zimepokelewa kwa mikono miwili.
ligi imeanza;
Asente Kiongozi
Daaaah! Fabregas kifaaa bhana pole yake mr. bean
...Ntuzu amani kwako!
Pamoja sn mkuu!
Tupo tunalisongesha!