Ile mechi ilikuwa tamu sana, nilitaka lala ila yale maufundi ya Salah, Fabs,Hazard yakanifanya niendelee angalia.
Mimi nishatangaza mapema kuwa Chelsea ndio mabingwa na tusipochukua msimu huu basi itakuwa balaa na tunaweza kuwa liverpoool wengine.
Chelsea FC Winners
nimeona mkuu,ila defence yetu unaionaje umeridhika?
nilichogundua tutatakiwa wapinzani wetu wawili wapoteze game zao,ambao ni man u na arsenal ila pale liverpool na man city hamna kituDefence haina tatizo kabisa mkuu ondoa shaka, tangu msimu uliopita hatukuwa na tatizo. Kwa ujumla kikosi kizima kiko sawa....ubingwa mapema sana tunatangaza
nilichogundua tutatakiwa wapinzani wetu wawili wapoteze game zao,ambao ni man u na arsenal ila pale liverpool na man city hamna kitu
Wakuu leo game yetu na Real Sociedad ipo?
incase mkuutimu iliyokomaa na yenye kocha aliyekomaa haihitaji kuombea njaa adui zake; kwa sababu wanaweza kupanga matokeo. timu iliyokomaa kama CHELSEA FC italazimika kuzifunga nyumbani na ugenini ili kujihakikishia ushindi.
Wapinzani wetu si Man Utd, Arsenal fc, Liverpool au Man City...Wapinzani wetu sisi ni NEXT MATCH.:A S-eek:
Defence haina tatizo kabisa mkuu ondoa shaka, tangu msimu uliopita hatukuwa na tatizo. Kwa ujumla kikosi kizima kiko sawa....ubingwa mapema sana tunatangaza
incase mkuu
mechi saa ngapi?
wakuu huu msimu mna maoni gani kuhusu kukutana na arsenal nadhani mmeona spirit yao kwenye mechi ya man city
saa tatu dk 45 ya bongomechi saa ngapi?
poa kama kawa arsenal wanachonga sana kuchukua hako kakombe mbuzi