chilumendo
JF-Expert Member
- Oct 26, 2013
- 3,430
- 4,486
Tetesi za Pogba zinaendelea..jana alionekana jijini London karibu kabisa na Stanford Bridge..
Huyu kijana anakipaji cha hali ya juu kama mour atamchukua tutakuwa tumepata bonge la mchezaji kumbuka wachezaji wa kiafrika walivyo na sprit ya ushindi
Habari yako Mkuu EMT, kitambo sana sijasoma nondo zako hata kwenye WC sikuoni, turudi kwenye hoja
Nakumbuka wakati wa Di Matteo, David Luiz alimaliza ule msimu vizurj sana na pamoja na mapungufu yake kwenye nafasi yake, washabiki wengi wa Chelsea walikua wanapenda jamaa arithi mikoba ya JT, nadhani na mimi nililileta hapa nikiwakilisha tu hayo maoni.
Kuna baadhi ya leadership skills ambazo Luiz anazo, wanasema jamaa ni very vocal kwenye dressing room na huwa anapresent a brother figure kwa mayoso na hata watu wa age yake na ukaribu wake na washabiki
Lakini akiwa uwanjani kwa kweli hawezi kulead by example, hawezi kupanga wenzake kwa sababu yeye mwenyewe hawezi kujipanga na sometimes yuko too emotional.
Naomba kukiri hapa kwamba nilikosea sana kudhani huyu bwana anaweza kuwa Captain wa team kama ya Chelsea
Na Ramires atacheza wapi?
What about this..
Kila ukipanga kikosi unamuacha kabisa Mosalah, why?
Kwa maana hiyo mtakua mnacheza 4-3-3? Kwa hali inavyokwenda hizo beki za pembeni zitabadilishwa tu, Fillipe yuko njiani, sasa sijui kati ya Brana na Azplicueta nani atacheza kulia.
Nasoma kuwa kijana wetu Paul Pogba ameonekana mitaa ya karibu na Stamford Bridge, mko tayari kutupa £60m?
60 gawa kwa 2.
Kwenye Premier League timu ya kwanza kutumia 4-3-3 kwa mafanikio CHELSEA FC najua unakumbuka 2004-2005.
Hata Oscar hayupo hapo..[ikitokea kaumia kama Neymar]
Nimebandika hiyo formation kujibu swali la mkuu EMT kuhusu kupata namba RAMIRES..
Mo Salah ni muhimu, na tena msimu huu atakuwa hatari sana kwa Hazard.
KWA NINI?
Mo Salah: mwepesi, anachenga za hatari, mfungaji, hakai na mpira muda mrefu...
Wakuu nathubutu kusema Blues bado hawajafanya usajili wa maana,huwezi kufananisha na Arsenal waliomnunua Alexis,Man u waliomnunua Di maria,Man city ndo usiseme.
huu msimu utakuwa una walakini sana kwetu kwa mtindo huu.
mimi sishabikii Arsenal wala man u wala man city,mi ni blues dam,lakini hata kwenye kombe la dunia nadhani umeona mambo aliyofanya Sanchez kuliko hata Diego,unaposema unachoangalia ni ubora wa timu haina mantiki pia kama hakuna mchezaji ambaye ni bora kuliko,kama unaangalia timu lote,je Argentina ingeenda fainali bila Messi?pia nadhani umeona Brazil ilivyopoteza Neymar alivyokosa mechi ya majuziwewe kinachokusumbua ni ushabiki badala ya kuangalia ubora wa mchezaji mmojammoja kwa kila timu hivi unafikiri sanchez atazuia arsenal msifungwe , kinachotakiwa katika timu ni ubora wa timu nzima na sio mchezaji mmoja.
Hata ukifananisha sanchez na Diego wa chelse katika ubora diego ana ubora zaid ya huyo unayemsema
mimi sishabikii Arsenal wala man u wala man city,mi ni blues dam,lakini hata kwenye kombe la dunia nadhani umeona mambo aliyofanya Sanchez kuliko hata Diego,unaposema unachoangalia ni ubora wa timu haina mantiki pia kama hakuna mchezaji ambaye ni bora kuliko,kama unaangalia timu lote,je Argentina ingeenda fainali bila Messi?pia nadhani umeona Brazil ilivyopoteza Neymar alivyokosa mechi ya majuzi

sasa kwa maoni yako ni bora tungemchukua sanchez kuliko diego
je, Ujerumani imeingia fainali kwa kumtegemea nani?
kama wewe ni mtu wa Chelsea FC, unapaswa kuwa mwelewa kwamba hapa CHELSEA FC hatujawahi kumtegemea mchezaji mmoja tu, au kutegemea uwezo wa mchezaji mmoja.
MIFANO:
Chelsea 2- 0 PSG. hii mechi Hazard alianza, lakini kocha alipoona kwamba kijana hayupo fiti kwa mapambano, alimtoa hata kabla ya dakika 20, akaingia Andre Schurrle..ambaye alifunga goli la kwanza. Kipindi cha pili akamtoa kipenzi cha mashabiki, one of the Chelsea legends, Frank Lampard na kumwingiza uwanjani..Demba Ba..dakika ya 87 tukapata ushindi..kupitia goli alilofunga Ba.
MFANO #2, Chelsea FC vs Barcelona 2012. Tulikuwa tumefungwa goli 1, na ndipo JT akatolewa kwa kadi nyekundu, tukafungwa goli la 2...lakini kabla ya mapumziko Ramires akafunga goli 1, kipindi cha pili dakika za mwisho mwisho..Fernando Torres akasawazisha na kuisaidia Chelsea Fc kuingia fainali na hatimaye kuchukua ubingwa..
NB: Chelsea Fc ina wachezaji 3 kwenye timu ya taifa ya Brazil, lakini hiyo haina uhusiano wowote na kiwango cha Chelsea..:cool2:
Nadhani kama ni muelewa amekusoma ingawa anaonekana kama mamuluki kutoka kwa wapinzani wetu