dah!mungekuwa munampamba na kumsifia hivi wakati yupo ARSENAL ningewaona kweli watu wa football lakini kihivi dah mnanipa shida kuwatafsiri August8 na fans wenzio wa daraja la mabua
jana tores,faby na costa hali mbaya
ha ha ha..unajua nini? hapo ndo ujue Mourinho noma aisee. alisema Casillas kaisha watu hawakuelewa. umeona jana alikuwa anapagawa golini tu aisee.
FABREGAS alicheza dakika 10 tu ndugu yangu.
HISPANIA wamekosea wenyewe. Pale kati ilipaswa acheze Koke, Fabregas na Carzola. Maana hawa bado wana kiu ya mafanikio.
Xavi na Iniesta wamechoka sasa..ila poa tu ndo wakome..:frusty:
hahahahah!hizo kelele zitaisha mei mwakani sina presha na chelsick hata wamsajiri ronaldo,suarez,neymer,cavani n.k kwani msimu ulioisha ulikuwaje?mlisajiri kwa kishindo willian,etoo,van ginker,de bruyne,matic,salah n.k tena kwa fitna ya hali ya juu!
matokeo yake wote tumeyaona ni kumaliza mikono mitupu huku mnaangaliana usoni kwa haya na hasara

wale wa league one wameleta shangwe ktk viunga vya emirates teh teh teh
wale wa league one wameleta shangwe ktk viunga vya emirates teh teh teh