Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

timu pekee kutoka UINGEREZA kushinda makombe yote makuu yanayoandaliwa na UEFA.

Wenzetu wengine wameshinda baadhi ya makombe; CHELSEA FC imeshinda yote makubwa yanayoandaliwa na UEFA.

forever blue.
 

na huyo ndiye aliyevunja kadaraja msimu huu,na aliahidi kabla,
viva GUS POYET
 
na huyo ndiye aliyevunja kadaraja msimu huu,na aliahidi kabla,
viva GUS POYET


mwenzetu huyo..

alidhani anamsaidia SUAREZ lakini hatimaye SUAREZ tukamtuliza.

Haitusumbui..wachezaji wetu wa zamani wanapokuwa makocha; inaongeza hadhi ya timu.
 
FOREVER BLUE: Kwenye picha hiyo wote hao wamewahi kuwa makocha wetu: Claudio Ranieri na Babu Guus Hiddink. CHELSEA FC FOREVER BLUE.

Guus Hiddink tore into his underachieving Chelsea stars after they scraped a 1-0 win over Juventus in the Champions League.

Didier Drogba's 12th-minute strike put Chelsea in command of the first leg of this first knockout round tie at Stamford Bridge but they were unable to press home their advantage and will travel to Turin in two weeks time defending a narrow advantage.

 


AVRAM GRANT. 2007-2008.
hapo ilikuwa ni baada ya kuifunga LIVERPOOL FC ndani ya sebule yao ANFIELD kwenye CHAMPIONS LEAGUE SEMI-FINAL 2008. Matokeo yalikuwa 3-1. Blanislav Ivanovic alitupia goli 2 usiku huo. FOREVER BLUE.
 

teh teh teh!mwenzio abromovich alimtimua mourinho 7bu timu inacheza butubutu,akasema anataka timu ionekane ikicheza mpira kama arsenal f.c kwani ukitoa ushindi pia mpira ni burudani,sio timu inashinda lakini haivutii washabiki,kwa mantiki hiyo wenger hawezi kutamani kucheza mpira mbovu kama wa chelsea
 
Mkuu Ntuzu upo?umeibukia wapi,yan toka daraja lizolewe na kimbunga cha ATL.MADRID sijakuonapo....
cc August 8
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…