world cup wapi tuanze kujuana mapema mkuu agost 8
teh teh teh ilitakiwa umuulize baada ya hizo 6 alipata nini??
Waambie waganga njaa hawa wataka vyote kwa pupa wamebaki wanaweweseka.
Tehtehtehtehteh.
6-0 ni mada tofauti kabisa:
wewe kushinda FA ulihangaishana na HULL CITY TIGERS.
ukweli uko palepale 6-0. kiboko yako mimi wewe!
niliangaishana na Hul city but at the end of the day nikanyanyua Ndoo.
Vip wewe ulivyohangaishana na Sunderland, Crystal Palace na Stoke City ilikuwaje?
Tehtehtehtehtehtehtehteh na mtaweweseka saana mwaka huu.
CHELSEA FC;
the only team in london.
CHAMPIONS LEAGUE WINNER - 2012.
UEFA EUROPA LEAGUE WINNER - 2013.
UEFA CUP WINNERS CUP - 1998.
SUPER CUP WINNER - 1998.
tulipata rekodi mpya ambayo nyinyi mtahangaika kuivunja.
raha sana kumfunga mtani wako aisee!
CHELSEA FC;
the only team in london.
CHAMPIONS LEAGUE WINNER - 2012.
UEFA EUROPA LEAGUE WINNER - 2013.
UEFA CUP WINNERS CUP - 1998.
SUPER CUP WINNER - 1998.
teh teh teh teh naona umeanza tena kuweweseka na record zako za kuokoteza.
BTW London is always reds.
#AnsateRoman .
unbeaten 49 record ya maisha haitatokea england
hiyo rekodi yako na ile ya kuchukua kikombe cha FA kwa mara ya 11 ipi ina uzito.
unbeaten 49 record ya maisha haitatokea england
Etoo at 33 ameonekana ni mzee. lakini Costa at 32 ananunuliwa kwa 32m!!!! sasa baada ya msimu mmoja si atakuwa mzee kama etoo[33]??? ndio maana atletico wala hawajafikiria mara mbili kumuuza.
muwe mnafanya utafiti basi kabla ya kukurupuka! matokeo yake mnaonekana vilaza. costa ana miaka 25!Etoo at 33 ameonekana ni mzee. lakini Costa at 32 ananunuliwa kwa 32m!!!! sasa baada ya msimu mmoja si atakuwa mzee kama etoo[33]??? ndio maana atletico wala hawajafikiria mara mbili kumuuza.
Diego Costa hajafika miaka 32,nafikiri ana 25 au 27.Atletico hawana ubavu wa kumzuia mchezaji kama akitaka kuondoka Torres,Aguero,Falcao wote waliuzwa
muwe mnafanya utafiti basi kabla ya kukurupuka! matokeo yake mnaonekana vilaza. costa ana miaka 25!
RRONDO we know you kwa weledi wako wa kuchambua soka!Jamaa aliyekujibu alitakiwa akusahihishe tu sio kutumia lugha ya hovyo hovyo kama hiyo!sijui nimemchanganya na mchezaji gani!!!! kumbe amezaliwa oct 88!!! 26yrs
muwe mnafanya utafiti basi kabla ya kukurupuka! matokeo yake mnaonekana vilaza. costa ana miaka 25!