Mkuu karibu sana hapa Jukwaani, halafu nitumie tena namba zako maana smu nilipoteza.
Back: Najua
#Fans Club are very strong!! lakini nashangaa
agosti 8 halijui hilo(hajasema wazi) na hajui kwamba fans ndio walifanya Lampad aendelee kuexist mpaka leo.
Abro sio mbaya ila alichukizwa na tabia za Lampad na Drogba kutokana na ile saga za msimu ule, sera za Scolari kwamba haangalii majina makubwa au Legends wa Chelsea pale darajani akawa akawa anawaweka benchi Some Legends...!! Kilichofuata nadhani kila mmoja anakijua.
Nipe kifungu cha Chelsea kinachoongelea kuhusu mikataba after 30 yrs plz. Nakumbuka Drogba alikuwa na miaka 33 alipowapa ubingwa wa UEFA 2012, na alikuwa kwenye form moja ya hatareeee sana.
Halafu nipe sababu kwanini mmemsajiri ETO'O? alipewa contract ya muda gani!! Pia naomba kujua umri wa Terry!!
Mark Schwarzer ana miaka mingapi...Hahahaaa Nyie bhana