Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

wewe una matatizo makubwa sana; mie sijawahi kumtetea mchezaji yeyote. mie nimesema kila siku hapa jamvini kwamba CHELSEA FC ni kubwa kuliko mchezaji yeyote. acha uongo Sizinga.

Lampard na Terry wanaheshimiwa sana; na wataendelea kuheshimiwa. Huo ndo utamaduni wa Chelsea.🙂
Acha unafiki sizinga.

Si lampard wala Cole wala drogba ALIEFUKUZWA Chelsea.

Sera ya Club ni Kwamba from 30yrs retirement ndio mpango mzima na kama ni mkataba ni mwaka mmoja mmoja tu.
Huo Ukweli nyie hamtaki kuukubali...ila nawaambia kwamba #Fans wa #Chelsea ndo waliforce kumbakiza Lampad!! These ChelseaFans are so strong mpaka #AbroMapesa akawakubalia. Otherwise ingekua ni nguvu ya bosi tu ...Agh tangu 2012 Lampad alikuwa hana chake!!
 
Mkuu agosti 8 Huyu Sizinga asikuumize kichwa! Sisi wenye chelsea tunafahamu kua tunafanya nini! Na pia tunazielewa vzr sn sera za timu yetu hasa kwa wachezaji walio kuanzia miaka30 na kuendelea kwamba mikataba Yao ikoje!

Ni mtakie mema Ligend wetu Lampard ktk safari yake huko aendako!
 
Last edited by a moderator:
'The best midfielder I've had the honour of playing with, you're a true Chelsea legend.

'You are a real winner and an inspiration to me and everyone at Chelsea. Good luck mate.' - JOHN TERRY #26
 
ntuzu legend!
Mkuu agosti 8 Huyu Sinziga asikuumize kichwa! Sisi wenye chelsea tunafahamu kua tunafanya nini! Na pia tunazielewa vzr sn sera za timu yetu hasa kwa wachezaji walio kuanzia miaka30 na kuendelea kwamba mikataba Yao ikoje!

Ni mtakie mema Ligend wetu Lampard ktk safari yake huko aendako!
 
Acha unafiki sizinga.

Si lampard wala Cole wala drogba ALIEFUKUZWA Chelsea.

Sera ya Club ni Kwamba from 30yrs retirement ndio mpango mzima na kama ni mkataba ni mwaka mmoja mmoja tu.
mwambie ukweli.
Ninaposema ALIFUKUZWA nyie mlioanza kuishabikia/kuijua Chelsea at this age hamwezi kunielewa!! Hizo ni habari za Ndani kabisa za Club!! Hahahaaa, Drogba aliondoka na kinyongo pale darajani, na ndiye aliyewapa Ubingwa wa UEFA 2012, Nyie jifanyeni mmesahau tu....eti umri ulikuwa umeenda...tehe teheheee...kama ndo hivyo hata ETO'O msingemsajili basi(AgeFactor) #TeamMburumundu
 
team ya mapoyoyo mna kelele nyie..:der:
Ninaposema ALIFUKUZWA nyie mlioanza kuishabikia/kuijua Chelsea at this age hamwezi kunielewa!! Hizo ni habari za Ndani kabisa za Club!! Hahahaaa, Drogba aliondoka na kinyongo pale darajani, na ndiye aliyewapa Ubingwa wa UEFA 2012, Nyie jifanyeni mmesahau tu....eti umri ulikuwa umeenda...tehe teheheee...kama ndo hivyo hata ETO'O msingemsajili basi(AgeFactor) #TeamMburumundu
 
Huo Ukweli nyie hamtaki kuukubali...ila nawaambia kwamba #Fans wa #Chelsea ndo waliforce kumbakiza Lampad!! These ChelseaFans are so strong mpaka #AbroMapesa akawakubalia. Otherwise ingekua ni nguvu ya bosi tu ...Agh tangu 2012 Lampad alikuwa hana chake!!

Unataka kuniambia Abromoney Ni mtu mbaya? Au Jose? Sera za Chelsea kwa mikataba ya wachezaji wenye miaka 30 na kuendelea unazifahamu?

Ina maana siku zote Ulikua haufahamu kua mashabaki wana nguvu? Ni Mara ngapi kwa msimu uliopita Mzee wako Wenger aliomba msamaha mashabiki wake na kujitwika lawama yeye? Na kwanini afanye hivyo?

Nijibu Haya Ndio tuendelee! Vinginevyo nitakushukuru kwa kuichangamsha thread yetu!
 
wewe una matatizo makubwa sana; mie sijawahi kumtetea mchezaji yeyote. mie nimesema kila siku hapa jamvini kwamba CHELSEA FC ni kubwa kuliko mchezaji yeyote. acha uongo Sizinga.

Lampard na Terry wanaheshimiwa sana; na wataendelea kuheshimiwa. Huo ndo utamaduni wa Chelsea.🙂
Mkuu huo ni msemo tu ambao unafanya saikolojia ya wachezaji iwe sawa kwa kila mmoja!! Ila kiukweli kuna wachezaji are stronger than Managers!! Na hilo lipo wazi. Na wana Impact kubwa ikitokea wanakorofishana na kocha. Na mifano nimekupa.(Ni kwa maana hiyo tu)
 
Sera ya 30 yrs kuongeza mwaka mmoja mmoja ilikua sera ya wenger tokea enzi za unbeaten naona dunia nzima sahv wanaiga
 
Ninaposema ALIFUKUZWA nyie mlioanza kuishabikia/kuijua Chelsea at this age hamwezi kunielewa!! Hizo ni habari za Ndani kabisa za Club!! Hahahaaa, Drogba aliondoka na kinyongo pale darajani, na ndiye aliyewapa Ubingwa wa UEFA 2012, Nyie jifanyeni mmesahau tu....eti umri ulikuwa umeenda...tehe teheheee...kama ndo hivyo hata ETO'O msingemsajili basi(AgeFactor) #TeamMburumundu

van persie alifukuzwa?
nasri alifukuzwa?
fabregas alifukuzwa?
edu alifukuzwa?
vieira alifukuzwa?
thierry henry alifukuzwa?
tonny adams alifukuzwa?

Kweli kabisa; Rockycity native! hata mfumo wa 4-2-3-1 ni wa Chelsea Fc lakini dunia nzima sasa inacheza hivyo sasa.
Sera ya 30 yrs kuongeza mwaka mmoja mmoja ilikua sera ya wenger tokea enzi za unbeaten naona dunia nzima sahv wanaiga
 
Mkuu huo ni msemo tu ambao unafanya saikolojia ya wachezaji iwe sawa kwa kila mmoja!! Ila kiukweli kuna wachezaji are stronger than Managers!! Na hilo lipo wazi. Na wana Impact kubwa ikitokea wanakorofishana na kocha. Na mifano nimekupa.(Ni kwa maana hiyo tu)

Mchezaji mkubwa pale Arsenal fc ni nani?😕
 
Unataka kuniambia Abromoney Ni mtu mbaya? Au Jose? Sera za Chelsea kwa mikataba ya wachezaji wenye miaka 30 na kuendelea unazifahamu?

Ina maana siku zote Ulikua haufahamu kua mashabaki wana nguvu? Ni Mara ngapi kwa msimu uliopita Mzee wako Wenger aliomba msamaha mashabiki wake na kujitwika lawama yeye? Na kwanini afanye hivyo?

Nijibu Haya Ndio tuendelee! Vinginevyo nitakushukuru kwa kuichangamsha thread yetu!
Mkuu karibu sana hapa Jukwaani, halafu nitumie tena namba zako maana smu nilipoteza.
Back: Najua #Fans Club are very strong!! lakini nashangaa agosti 8 halijui hilo(hajasema wazi) na hajui kwamba fans ndio walifanya Lampad aendelee kuexist mpaka leo.
Abro sio mbaya ila alichukizwa na tabia za Lampad na Drogba kutokana na ile saga za msimu ule, sera za Scolari kwamba haangalii majina makubwa au Legends wa Chelsea pale darajani akawa akawa anawaweka benchi Some Legends...!! Kilichofuata nadhani kila mmoja anakijua.

Nipe kifungu cha Chelsea kinachoongelea kuhusu mikataba after 30 yrs plz. Nakumbuka Drogba alikuwa na miaka 33 alipowapa ubingwa wa UEFA 2012, na alikuwa kwenye form moja ya hatareeee sana.
Halafu nipe sababu kwanini mmemsajiri ETO'O? alipewa contract ya muda gani!! Pia naomba kujua umri wa Terry!!

Mark Schwarzer ana miaka mingapi...Hahahaaa Nyie bhana
 
Last edited by a moderator:
Ninaposema ALIFUKUZWA nyie mlioanza kuishabikia/kuijua Chelsea at this age hamwezi kunielewa!! Hizo ni habari za Ndani kabisa za Club!! Hahahaaa, Drogba aliondoka na kinyongo pale darajani, na ndiye aliyewapa Ubingwa wa UEFA 2012, Nyie jifanyeni mmesahau tu....eti umri ulikuwa umeenda...tehe teheheee...kama ndo hivyo hata ETO'O msingemsajili basi(AgeFactor) #TeamMburumundu

Teh Teh Teh

Asante kwa kutuchangamshia thread yetu! Lkn habari zako hazina ukweli!

Mpk nafikia Drogba anaondoka Ni yeye Ndie aliekua anasubiriwa kuamua! Walimuwekea offer mezani Alikua anatakiwa yeye tu kuamua kubaki Au lah! Na yeye akaamua kujiwekea heshima na history na kuamua kuondoka!
 
Kikosi cha Chelsea kikubwa sana na pia lazima wachezaji wengine waondoke na wengine waje.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom