Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Actually, I was surprised kwa nini alianza na Hazard ikizingatiwa alikuwa hajacheza kwa mechi kadhaa.
inaonyesha Morinho anawamini mabeki sana na ushambuliaji anayemuamini ni Hazard tu Torres kaanzishwa basi ingekuwa Mikel na Lampard sio Card angeanza na hao sababu wanazuia mpira inaonyesha mpira na fikra za Morinho ni zipi Hana tena Yule striker wa kumpigia Cross Kichwa bao Kama Drogba anahitaji Cavani au Falcao ni si Diego Costa! Ni kweli Oscar na Shurler walikuwa wacheze, Rafael Benitez pale Chelsea Ana More Europe Cup than Morinho Fact.
 

La Liga inaboa kwa sababu ilikuwa ligi ya timu mbili tuu.
 
jamani kuna analyst anaitwa agosti 8 sijaona uchambuzi wake wa hii game....huyu ni mtaalam sana wa kuchambua mbinu zote za mourinho anazotumia kupata ushindi, kapotelea wapi huyu mtu???
 
Last edited by a moderator:
jamani kuna analyst anaitwa agosti 8 sijaona uchambuzi wake wa hii game....huyu ni mtaalam sana wa kuchambua mbinu zote za mourinho anazotumia kupata ushindi, kapotelea wapi huyu mtu???

agosti 8 kuja hapa bana unahitajika
 
Last edited by a moderator:
Ntuzu nilikwambia hawa ATL hawakuonyesha tishio kule kwao ila tunasubiri kwenu maanake itabidi mfunguke mtafute ushindi na tumeona matokeo. wewe ulikua unaamini timu yenu haifungiki kwa mara ingine tena nakwambia mpira hauchezwi mdomoni ni uwanjani tu na baada ya dakika 90 ndio tutajua nani mshindi
 
Last edited by a moderator:

Maneno ya busara sana haya kama ya mzee Pandu Amir Kificho.
 
Last edited by a moderator:


Mkuu Asante!
 
Last edited by a moderator:
aaah kumbe kuna mjanja wa ATM aliwahi pale darajani na kubeba BUS la Mourinho....!!!!!!

 
Mkuu Asante!

shehe wangu yamekuwa haya...unanipita hapa hapa kama hunioni?? tangu jana nakutumia salamu kimya. ndio ukubwa huu hata sie tumepita hayo ilibaki wewe kuweka nywele maji tu sasa ukajidai kichwa ngumu ndio umenyolewa hadi kichwa kinauma yakhe.
 
aaah kumbe basi lenyewe jamaa wakaenda kulibwaga darajani..!
cc: Mentor
 
Last edited by a moderator:
shehe wangu yamekuwa haya...unanipita hapa hapa kama hunioni?? tangu jana nakutumia salamu kimya. ndio ukubwa huu hata sie tumepita hayo ilibaki wewe kuweka nywele maji tu sasa ukajidai kichwa ngumu ndio umenyolewa hadi kichwa kinauma yakhe.



Teh Teh Teh Teh Teh Teh

Ile siku uliyokua unaiomba imefika Sio?


Naona kijana umefurahi sn? Tumejitahidi kufika hiyo hatua wengi ktk epl na kwingine ulaya walishindwa!

Hongera sn kwa Chelsea na Hongera sn kwa Jose Mourinho!
 

Sidhani kama anawaamini zaidi mabeki bali tuu ni style yake. Huwa anajenga timu kuanzia nyuma kwenda mbele wakati watu kama akina Pep Guardiola anaanzia mbele kurudi nyuma.

Kila staili ina faida na hasa zake. Hasara za kila staili tumeziona kwa Chelsea jana na kwa Bayern juzi. Ukifocus zaidi kwenye ku-defend, hutafunga magoli. Pia ukifocus zaidi kwenye kushambulia unaweza kufungwa magoli mengi. It would seem that the best approach ni ku-balance kotekote, japokuwa hii nayo inategemea unacheza dhidi ya timu gani. A. Madrid did this last night.

Kuhusu Mourinho kuhitaji striker kama Cavani au Falcao, I think the former is overrated. The latter hajasikika tena tokea aondoke A. Madrid. Hata Diego Costa sijaona ukali wake sana. Halafu anaonekana kama ni mtu mwenye mahasira and Premiership defenders would love to bully him.

Kuhusu Rafa kuwa na more Europa cups than Mourinho, the latter alishasema kuwa winning the Europa League would be a "disappointment" to him.

Champions League is the only European competition every top manager/club wants to play. Akamalizia "I don't want my players to feel the Europa League is our competition."

Hata Sir Alex Ferguson angekuambia hivyo hivyo. Nakumbuka wakati Man Utd ilipocheza kwenye Eropa League Ferguson alikuwa anaonekana kama hataki awepo uwanjani.

Lakini kwa Rafa he has made his players to feel that the Europa League is their competition. Maana nasikia mwaka huu tena yupo huko Europa League. Personally, I don't follow the Europa League either.

So, pamoja na style yake still Mourinho is one of the successful managers out there. Wenger plays "sexy football" lakini haijafika mahali in terms of winning titles.

Pili kama siyo yeye wala usingepoteza muda wako kuandika uliyoandika. He makes you to have something to write about football. Kama alivyosema mwenyewe, he makes you to feel that you are one of the "philosophers" in football. 🙂
 
Teh Teh Teh Teh Teh Teh

Ile siku uliyokua unaiomba imefika Sio?


Naona kijana umefurahi sn? Tumejitahidi kufika hiyo hatua wengi ktk epl na kwingine ulaya walishindwa!

Hongera sn kwa Chelsea na Hongera sn kwa Jose Mourinho!

teh teh teh teh ALMOST DOESNT COUNT!!!
 
Bado sisi tunastahili sifa ktk msimu huu!

Tumezifunga timu zote kubwa za Epl na ktk Cl tumefika Nusu fainali! Ni Hali ya kujivunia sn!
 

FALCAO kaumia ACL nearly six months now,wanamatumaini atarecover just in time for WC.....CAVANI/DIEGO COSTA naungana na wewe wako OVER RATED....ni wa kawaida sana tu na Premier League watapata shida sana kucope
 
Bado sisi tunastahili sifa ktk msimu huu!

Tumezifunga timu zote kubwa za Epl na ktk Cl tumefika Nusu fainali! Ni Hali ya kujivunia sn!

sawa baada ya kuzifunga hizo timu mmepata tuzo gani???
 
sawa baada ya kuzifunga hizo timu mmepata tuzo gani???
Wanaanza ku sound Kama manager wao sasa Morinho Kama Man City ndio bingwa tumemfunga bingwa home and away na Kama Liverpool ndio bingwa tumemfunga Bingwa Home and Away sasa yeye kaja na tumefunga timu zote za EPL ila ndogo zimekuwa ngumu sababu game zao wanacheza sawa Kimpira na timu ndogo, mtoto wa Crystal Palace alikuwa analala ikija na Morinho anachelewesha kurudisha mpira uwanjani heheh siku kazaa na yeye anafanya hilo hilo, RRONDO swali Lako Zuri.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…