Katika hii post...maneno yapo kwenye hiyo para ya mwisho...kwingine kote ni kulialia kusiko na sababu.
Sasa kama hawakuwa fit walichezeshwa ili? Si walipasi fitness test? Au kuna standard hapo Chel$ki$ za fitness test?
Suala la kuwa eti wachezaji walikuwa mentally unfit kwa kuwa walifikiri sanahii game, ni kichekesho! Timu za Ulaya uwa zina watu wa saikojia, hapo Chel$ki$$ki$ hayupo? Piaimeshakuwa
ila mi nahisi alikuwa ana switch position kwa sababu mwanzo aliwekwa acheze kama namba kumi na yeye huwa mzuri akitokea pembeni either kushoto au kulia hasa kushoto .
pia unaizungumziaje kauli yake hiyo ya pili aliyosema `i cant do it all by myself`...
Nzi akatoa povu lakeNafasi nne nawapa Real Madrid. Carlo ana experience nzuri sana kwenye champions league. The addition of Bale inaweza ku-spice up things maana walikuwa wanamtegemea zaidi Ronaldo. Wakishidwa hao wote basi anaweza kuchukua Juventus. Juve itaimarika sana kutokana na Tevez and Llorente. Wakishindwa basi timu ya "The Happy One". Faida pekee waliyonayo Chelsea ni msimu huu ni Mourinho. Otherwise, it is the same team. ....Ikishindikana kabisa na najua, akina Nzi watapinga hili lakini kusema kweli sidhani kama the "Those Chosen One" anaweza kufanya maajabu makubwa kwenye msimu wake wa kwanza.
Naona hukurudi tena na uchambuzi wako uchwara. Na uje ujadili tena Jumapili hii pale Manchester Derby.
Eti Rooney na RvP hawatoshi kuwin UCL!!! Rooney tayari ana UCL gold medal; RvP is a world class player. We have a world class playmaker in Kagawa. We have the underrated English master in Carrick. We have a world class to be player in Fellaini. We have a soon to be world class goalie in De Gea. Etc.
Winning UCL isn't just a matter of having Rooney and RvP; it is a teamwork issue. Man United has a team depth that is enough to win UCL.
David Villa bado ni mkali Mkuu na atakuwa na extra motivation ya world cup or else apate majeruhi halafu yupo na Costa pale mbele. waliipa shida sana Barcelona kwenye match za ufunguzi wa ligi, sijui team ipi ya EPL inaweza kuwafunga hawa jamaa kwa sasa, Chelsea na Liverpool wanaweza kukusimulia. Kwangu mie, ukizitoa Juventus, Bayern, Barca na Dortmund hizi zilizobaki zitapata wakati mgumu sana na Atletico Madrid.
A. Madrid wana mlima mrefu kufikia hatua za juu, tatizo wanaweza kuwa vizuri ila wakapigwa kwa timing kwenye makundi au au hatua ya mtoano
Barca alipata wakati mgumu and the next victim anaweza kuwa Chelsea.
Ingekuwa mali sana kama final ingekuwa Real Madrid vs Atletico Madrid.
Nahisi fainali itakua kati ya Bayern Vs ATM
Siioni Madrid ikiifunga Bayern, na siioni Bayern wakilitetea taji lao, naiona ATM ikirudia yaliyofanywa na Porto 2004
Inavyoandikwa kwenye dashboard kuwa mchezaji fulani atacheza namba fulani haina maana ndivyo itakavyokuwa kwenye pitch.
Kwamba alisababisha yale magoli mawili because he couldn't do it by himself?
But put Hazard aside, the whole Chelsea team didn't perform. On the other hands, A. Madrid ipo safi. Tena sana.
Nakumbuka kuna thread moja ya mwaka jana tulikuwa tunajadili timu ipi itashinda Champions League and initially I ruled out A Madrid probably because I don't watch La Liga that much.
Lakini baada ya kuangalia mechi zake chache, nilikuwa impressed na style ya uchezaji wao. They defend very tight and attact, hasa kwa counter-attack. And this made me to change my mind on them.
Siyo vibaya kujikumbushia majadiliano ya wakati huo japokuwa Nzi alidai kuwa uchambuzi wangu ulikuwa uchwara.
Nzi akatoa povu lake
Well, Nzi tunajua kilichotokea.
Tukaendelea na uchambuzi.
Lakini nae mfarisayo akapinga
Watu tukaanza kuangalia mpira kwanza kwenye mabeseni.
Na kweli next vitim akawa Chelsea. Nae Mourinho juu ya Real Madrid.
Where are we now?
Eden Hazard questions Jose Mourinho tactics as Chelsea exit Champions League to Atletico Madrid
Eden Hazard: Questioned Jose Mourinho's tactics
Chelsea v Norwich
Eden Hazard has appeared to question Jose Mourinho's tactics after Chelsea went out of the Champions League to Atletico Madrid.
The Blues were criticised for defensive methods employed in the semi-final first leg in Madrid and in the Premier League win at Liverpool before tumbling out of Europe after a 3-1 home loss at Stamford Bridge.
"Chelsea aren't set up to play football," Belgian Hazard told beIN SPORTS' French station.
Michael Ballack and Jamie Carragher believe that Chelsea lacked creativity
"Chelsea are set up to counter-attack - a little bit like Real against Bayern.
'I don't know what we lacked. After scoring, we had the game in our hands. Maybe they wanted it more than we did."
It was a view shared by Sky Sports' Jamie Carragher who added: "This Chelsea team at the moment does not have enough creativity to open teams up.
"Think of the attacking talent at Chelsea. But they've scored two goals in six Champions League semi-finals."
Carragher was also critical of Mourinho's substitutions after the Portuguese brought on Samuel Eto'o early in the second half with Chelsea looking for a goal to take them through. Instead the veteran striker conceded a crucial penalty which Diego Costa converted.
"I just thought it was a little bit early to go two up front," said Carragher. "It had been a tight game but as soon as they went two up front it started to open up.
"Chelsea aren't set up to play football. Chelsea are set up to counter-attack"Eden Hazard
"I just thought it was a little bit early and that Mourinho had patience in these big games. They only needed one goal and it was important not to concede another."
Fellow pundit Gary Neville added. "He's usually the king. He's renowned for waiting.
"I thought Chelsea would wait, probably until 10 minutes to go with five minutes of extra time there. Be at 1-1 and then think that in that little period they could build some pressure, keep the crowd up into the last part of the game. It was taken away from them in that 15 minute period after the substitution."
Unless there is a twist in the Premier League title race, Mourinho is poised to finish without a trophy for a second successive season.
Assessing his first campaign back at Stamford Bridge ahead of the closing Premier League matches, Mourinho said he clung to a dream which disappeared.
Atletico Madrid captain gives his reaction to the win over Chelsea in their Champions League semi-final.
"We are realistic, but at the same time we are optimistic," he said.
"When things go in a certain direction, there is a moment where you dream and you think that things are possible, even if things are not.
"And because we did well in the Champions League and in the Premier League, there was a moment where we felt we could do it.
"In the Premier League it was the match against Aston Villa that made me believe that we had no chance to be champions.
"In the Champions League, it's the same. We knew that teams had more potential than us and were more ready than us to win the competition, but because you go step by step and beat Paris St Germain after a 3-1 defeat, you build your dream.
Jose Mourinho felt Chelsea were the better team until they conceded a penalty against Atletico in the Champions League semi-final.
"And today, I think it was proved that we had our chances. Until minute 61 we were completely in the game. And 2-1 for Chelsea, or 2-1 for Atletico.
"That moment was crucial and, from that moment, the game was over. In one minute, two actions decided the game.
"Atletico's goalkeeper (Thibaut Courtois - on loan from Chelsea) makes an impossible save from John Terry's header and instead of 2-1 to Chelsea, a few seconds later a penalty. The save is amazing and the penalty is a penalty.
"After that, there was only one team on the pitch. We had immediately the feeling the game was lost."
Defender David Luiz also felt incidents early in the second half were crucial and said. "They scored when they needed to score. "We controlled the game for the first 40 minutes and then we conceded a goal at the end of the first-half and they were able to counter attack and they dictated the game.
Arda Turan scores Atletico Madrid's third goal, as they beat Chelsea in the Champions League semi-finals 3-1 on aggregate.
"In the second half, they scored the second goal and then we headed the ball against the post. If it is 2-2, it is a different game and we are back in it but then they scored the third goal and that is it."
The on-loan Courtois had an impressive night for Atletico - cementing his reputation as one of the world's best young goalkeepers - and Mark Schwarzer believes he could provide some tough competition for Petr Cech next season.
"I thought he was outstanding," Schwarzer said. "He had a great game tonight. If we'd been a bit lucky and he'd been a bit unlucky we could have got back in the game and there could have been a few more nervy moments towards the end for them. It wasn't the case.
"They are both world class goalkeepers and I wouldn't say that they are at different ends of their careers because Petr still has a long way to go with his career."
Inavyoandikwa kwenye dashboard kuwa mchezaji fulani atacheza namba fulani haina maana ndivyo itakavyokuwa kwenye pitch.
Kwamba alisababisha yale magoli mawili because he couldn't do it by himself?
But put Hazard aside, the whole Chelsea team didn't perform. On the other hands, A. Madrid ipo safi. Tena sana.
Nakumbuka kuna thread moja ya mwaka jana tulikuwa tunajadili timu ipi itashinda Champions League and initially I ruled out A Madrid probably because I don't watch La Liga that much.
Lakini baada ya kuangalia mechi zake chache, nilikuwa impressed na style ya uchezaji wao. They defend very tight and attact, hasa kwa counter-attack. And this made me to change my mind on them.
Siyo vibaya kujikumbushia majadiliano ya wakati huo japokuwa Nzi alidai kuwa uchambuzi wangu ulikuwa uchwara.
Nzi akatoa povu lake
Well, Nzi tunajua kilichotokea.
Tukaendelea na uchambuzi.
Lakini nae mfarisayo akapinga
Watu tukaanza kuangalia mpira kwanza kwenye mabeseni.
Na kweli next vitim akawa Chelsea. Nae Mourinho juu ya Real Madrid.
Where are we now?
Somehow selection ya Mou jana ilikuwa na fault kwanza first team then sub!
Mimi ningemweka Oscar na Schurrle in place of Azp na Ramires.
Sub ya Eto'o ilifanyika mapema mno! And kama alitaka more attack angeanza na Ba with Torres in...na sio kumtoa Torres.

Tukisema sisi kua hakuna mpira mnaocheza zaidi ya kupaki basi na kuvizia counter attack mnatu kasirikia haya sasa Mchezaji Wenu muhimu Hazard kaongea, Je mtamkasirikia na kumuuza?
Asante Hazard umewajibu wakina Ntunzu kila siku wanabisha kua nyie hamchezi kandanda safi
Mkuu EMT Pep kaiharibu sana Bayern, sikutegemea wangefungwa kirahisi vile na R.Madrid, wamekua kama Arsenal bana!?
Last season my dark horse (Dortmund) walifika fainali ila wakaambulia patupu, safari hii nadhani ATM hawataniangusha, wanacheza the most attractive brand of football and they are well disciplined, kudos kwa Simeone kwa kweli.
By the way, what a performance by them last night?! sijui Jose katoa excuses gani, and they are going to Lisbon as the underdogs, they have got nothing to lose, ile ndoto ya ledecima ya R.Madrid inaweza kuendelea kuwekwa on hold
Mkuu Km ukiangalia mpira anachoza R Madrid, ATM, B Munich na Chelsea kuna mambo mengi unawaza ukayaona ktk hizi timu!
Unawaza ukawalaumu makocha kwa kupoteza Lkn kuna makosa ya wachezaji wenyewe Ndio yanaghalimu timu!