Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hakuna kocha kama Maurinho ulaya Atm wamebebwa na refa hata hivyo hakijaharibika kitu Epl tunabeba.
 

Hizo formation zake zikikubali, basi ndo misukule yake ndo inaanza kumwita "master tactician"
 
Wakuu mi nimekubali Hali iliyotokea Darajani! Kuna mengi naweza sema Lkn ktk Goli mbili ukiacha lile la penati ni makosa ya wachezaji Wa timu Yangu!


ATM walistahili kushinda! Kipindi cha pili tumecheza hovyo kabisa!
 
weraweraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Chelsea Oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Wakuu mi nimekubali Hali iliyotokea Darajani! Kuna mengi naweza sema Lkn ktk Goli mbili ukiacha lile la penati ni makosa ya wachezaji Wa timu Yangu!


ATM walistahili kushinda! Kipindi cha pili tumecheza hovyo kabisa!

Kuna mtu amehack akaunti ya Ntuzu. Ntuzu ninayemjua siku zote hulia kama maureen like father like son
 
Last edited by a moderator:
Teh teh teh teh teh tehteeeh! Ts a road to London and not Lisbon.
Tehtehtehtehtehteh.
 
Reactions: Mbu
Najua mengi mtaongea sn Lkn allways mpira Uko na matokeo Km haya!
 
Wakuu mi nimekubali Hali iliyotokea Darajani! Kuna mengi naweza sema Lkn ktk Goli mbili ukiacha lile la penati ni makosa ya wachezaji Wa timu Yangu!


ATM walistahili kushinda! Kipindi cha pili tumecheza hovyo kabisa!

pole mkuu ila bora mmetoka coz mngeenda kuharibu ladha ya fainali kwa mpira wa morinho anaotegemea wa kupaki basi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…