Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea wanaonekana kutumia mbinu ya kulinda sana kuliko kushambulia, cheki amelala na anadai kichwa kinazunguka, anagaagaa hapa, ni baada ya kupigwa kona kali na vijana wa atletico
 
Bado mpira umesimama na kuna dalili za kufanyika mabadiliko ya kipa ngoja tuone
 
Kona kuelekea kwa Chelsea na ATM wanakosa goli! Cech kaumia mkono!

Cech anatoka nje kaumia mkono!
 
Cheki kaumia na anatoka nje hapa sasa chelsea wamepata mshtuko
 
Naam anaingia Mark Shwaizer kuchukua nafasi ya Peter Check
 
Gooo laa hapana, vijana wa chelsea wanakosa bao hapa, dk ni ya 20 kwenda 21
 
Wanao tena vijana wa atl wanakwendaaaa, oow offside tena.
 
Wanashambulia sana atm, dk inakwenda ya 27, naona chesii wamefanikiwa kuwa-contain atletico
 
Hawa jamaa sijui wanaogopana? Ramires kakosa nafasi hapo dk 27.
 
Ntuzu changamka bana updates gemu lenu hili
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…