Huyu jamaa Ntuzu kakikmbia live...halafu kesho atakataa kwamba hajatoka nduki. Sio kawaida yake kukaa kimya hivi hata awe ba dharura gani.
nipo ..sema hali ya hewa humu imechafuka, ngoja nisubiri CHAMPIONS LEAGUE
naskia wamepgwa goli mbili.
Mkuu huyu jamaa hupenda kuwambia wenzanke wamejificha Darini nadhan naye kaelekea huko sasa itabidi sisi tumpandishe Paka akamkurupue pamoja na panya wengine.
Hapana....Glass ya Kiroba
Eeh leo najua ulikuwa Busy na mechi za nyumbani Simba na Yanga....hawa jamaa leo wamekula tupogo mkuu
Kama sio darini basi mvunguni...lazima tumkurupue tu huyu, mi leo sichoki nipo nao hawa #Mbulumundu
Leo sikubahatika kuhudhuria mechi yao kwani vipi wametoka suluhu?
wangetoka suluhu wangekuja mbio hapa kusema Sunderland kabahatisha.....wamepigwa mbili nyumbani kwao hadi kocha wao msaidizi anataka kupigana na refa.
DAYS SINCE
Chelsea dropped points at Stamford Bridge: 80
Sunderland won away from home: 77
Arsenal won a trophy: 3,255
Liverpool won the league: 8,750
Mbulumundu ndo jina jipya kwa washabiki wa chesiii? Nauliza tu.
Aibuuuu! Kwani pita cheki leo hakuwepo golini? Na kama alikuwepo golini je alishindwa kua anadaka mpira na kulala nao ili kupoteza muda wakati teri akizuia wasifungwe? Haya machache kwanza nijibiwe ili niwape maneno ya "mtumba" maana yale ya "spesho" hayana soko tena.
Mkuu we Jina lolote lile tuppia tu ila hilo #Mbulumundu linawafaa sana au yule mdudu mkubwa anayeviringisha mav.i unamjua jina lake?
Kama sio darini basi mvunguni...lazima tumkurupue tu huyu, mi leo sichoki nipo nao hawa #Mbulumundu
Simjui naomba unisaidie ili niongeze msamiati kwenye pakacha langu