Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Utofauti wa mechi ya jana na nyingine zote tulizocheza ni uwepo wa Moi Caicedo huyu ndio mwenye team yake anafanya team itakate sana katikati.Ila ombi langu Alonso inabidi arudi kwenye back 4 tuna wachezaji wengi wazuri kama Geovany Quenda na Estevao wanakosa nafasi kwasababu ya mfumo huu wa back 3 Nina amini Alonso akiswitch to back 4 tutakuwa hatari zaidi.
 
Tumeshinda ila tulikuwa tunacheza hovyo sababu ni mfumo nakuunga mkono maoni yako kuhusu mfumo
 
Moises Caicedo tayari ni legend wa Chelsea — na hii ndiyo ushahidi kwamba tayari amejijenga kama legend. Anapokosekana, kiungo inasambaratika na mabeki wanaonekana hovyo. Akiwepo uwanjani, kila mchezaji ghafla anaonekana kama superstar. Caicedo si anakaba tu, ana itercept mipira, anarudisha umiliki wa mipira, lakini pia ana uwezo wa kusoma hatari mapema na kufika mahali sahihi kwa wakati ili kuokoa.

Jana pia niliona jinsi wachezaji wenye uzoefu walivyokuwa wanachukua majukumu yao. Jordan Henderson alikuwa anawaelekeza wachezaji mara kwa mara huku akicheza kwa kiwango cha juu.

Kwa takwimu za jana, hakuna mchezaji wa Chelsea wala Bournemouth aliyekimbia umbali mkubwa kuliko Henderson — alikimbia km 12.

Martínez, kule nyuma, naye alikuwa akifanya kazi kubwa kupanga na kuongoza safu ya ulinzi.
 
Umeongea facts kabisa ila mfumo wa back 3 sio mzuri kwa aina ya Wingback tulionao hasa upande wa Pedro Neto wapinzani Wana upin ule upande ndio upande wapinzani wengi wanapitia hakuna asijejua u Bora wa Pedro Neto ni mpambanani, anakaba na ana kasi lakini positional wise sio mzuri yaani huwa anachelewa kurudi nyuma kucover hiyo nafasi ndio maana upande wake unakuwa na mwanya kwa wapinzani kupiga counter attack Thomas Tuchel aliweza back 3 ya chilwell na Reece James kwasababu hawa jamaa ni specialists wanajua wakati gani wakushambulia na wakati upi wa kurudi nyuma kuzuia. Chavarria ndio anajua kucheza back 3 ila Hato haiwezi nasijui kwanini Alonso analazimisha acheze huo mfumo
 
Shida kubwa ya back 3 ni kwamba viungo walishindwa kuwalinda mabeki. Paior ya Jordan na Caicedo imeonyesha ukweli huo
 
Shida kubwa ya back 3 ni kwamba viungo walishindwa kuwalinda mabeki. Paior ya Jordan na Caicedo imeonyesha ukweli huo
Ni sawa lakini hata anapokuwa huyupo Caicedo bado kocha anan'gania huo mfumo tukija kumkosa Pep Chavarria utashangaa atacheza Hato ndio narudia point yangu kama umewakosa wachezaji wako wa huo mfumo ni lazima wengine wacheze huo mfumo?
 
Ni sawa lakini hata anapokuwa huyupo Caicedo bado kocha anan'gania huo mfumo tukija kumkosa Pep Chavarria utashangaa atacheza Hato ndio narudia point yangu kama umewakosa wachezaji wako wa huo mfumo ni lazima wengine wacheze huo mfumo?
Alonso anabadilika badilika hata ile mechi kuna mda alicheza back three kuna mda aliswitch to back four
 
Ninyi kenge hamchezi uefa leo msiweke kisingizio chochote
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…