juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,976
- 5,463
Lembu matajiri wanazingua ila SD nao wanazingua unaqeza fata plan yote ya matajiri kusajili wachezaj wazuri bila hata kuleta wa hovyoKumbuka Maresca alipewa Mamadou Sarr tangu CWC kama mbadala wa Colwill akakataa kumtumia ndio akapelekwa mkopo Strasbourg na Marseca alijua atarudishwa January ndipo akaamua kutimua mbio.
Je hapo unalaumu Matajiri au SD????Halafu wanaenda kutoa mabilioni kwa mwanasesere Garnacho
hawa ndio makocha nahisi nibora kwa sasa ambao tunaweza wapata
Xabi Alonso
Luis Felipe
Seb Hoeness
Cesc Fab
Ila chance ni ndogo maana hawa wote sio wa yes Man kama Rosenior hivyo tutaangukia kwa kina Marco Silva au Iraola ambao ni Yes man
Marco Silva ni koach mzuri kama akipata project nzuri....pia afanyiwe sajili anazozihitaji !!
Iraola, ni makocha ambao wanaweza kufanya kazi kwenye mazingira magumu, ufinyu wa bajeti na waka-deliver (moyes type ) changamoto za makocha wa aina hii hawana uzoefu na timu kuhwa, hawawezi kuhimili presha pia
Vipi kuhusu Xavihawa ndio makocha nahisi nibora kwa sasa ambao tunaweza wapata
Xabi Alonso
Luis Felipe
Seb Hoeness
Cesc Fab
Ila chance ni ndogo maana hawa wote sio wa yes Man kama Rosenior hivyo tutaangukia kwa kina Marco Silva au Iraola ambao ni Yes man
Hao wote Chelsea iliwafukuzia lakini wachezaji walipenda kwenda City. Chelsea haiana mvuto tena. The project of kids mtu gani mzima atataka? Hata hawa waliopo wanatamani kutokaLembu matajiri wanazingua ila SD nao wanazingua unaqeza fata plan yote ya matajiri kusajili wachezaj wazuri bila hata kuleta wa hovyo
Rayan Cherki anamiaka mingapi??? Semenyo anamiaka mingapi,Xavi Simmon etc
Inshort wachezaj wazuri chini yamiaka 25 wapo ila tuliamua kupoteza hela na hiyo ni swala la SD
Andoni Iraola bwana YESman ataishia kusajiliwa, tusubiri tuonehawa ndio makocha nahisi nibora kwa sasa ambao tunaweza wapata
Xabi Alonso
Luis Felipe
Seb Hoeness
Cesc Fab
Ila chance ni ndogo maana hawa wote sio wa yes Man kama Rosenior hivyo tutaangukia kwa kina Marco Silva au Iraola ambao ni Yes man
Iraola au Marco Silva hakuna tofauti hapo tuendelee na maumivu.Andoni Iraola bwana YESman ataishia kusajiliwa, tusubiri tuone
Mkuu hawa SD wanapenda sana PR amini katika hilo kuwafukuzia sidhani kama ni sentens sahihi zaidi ya kutaka kuonekana kama walifanya juhudi mbele ya fans, Summer nzima unamzungumzia Xavi Simmon halaf ukaenda kwa Garnacho kama ndio priorityHao wote Chelsea iliwafukuzia lakini wachezaji walipenda kwenda City. Chelsea haiana mvuto tena. The project of kids mtu gani mzima atataka? Hata hawa waliopo wanatamani kutoka
Hawa wapumbavu waache ego ,wamrudishe maresca na wampe muda na kila resource anayotaka ajenge timu ya kushindana na Kubeba vikombe ,Kazi ibaki kwake na so huu upumbavu wa Ku taka kuwa na makocha vibaraka wasio na misimamo .kulikuwa Hamna haja ya kufukuza THOMAS Tuchel au Maresca ,Yale yalikuwa ni maamuzi ya ovyo SanaAndoni Iraola kufanya vizuri Bournemouth haimaanishi kwamba anafaa kwenye mradi wa Chelsea. Kiuhalisia, yeye ni Liam Rosenior toleo la 2.0; kocha anayejenga mfumo wake juu ya mbio nyingi na matumizi makubwa ya nguvu za wachezaji. Huo si mfumo unaolingana na kikosi cha Chelsea, na ungeongeza tu idadi ya majeraha ambayo tayari yametutesa kwa misimu kadhaa.
Wamiliki wa Chelsea bado hawajifunzi. Kila mara wanachukua makocha ambao falsafa zao hazilingani na aina ya wachezaji tulionao, halafu wanashangaa mambo yanapoharibika ghafla.
Kinachohitajika sasa ni kocha wa kiwango cha juu mwenye sifa kama za Maresca — mtu anayejenga mfumo tulivu, nidhamu uwanjani, na udhibiti wa majeruhi. Chini ya Maresca, kikosi kilipata balance, na hata wachezaji wetu wanaopata majeraha mara kwa mara waliweza kudhibitiwa vizuri kwa sababu mfumo wake ulihitaji akili na nidhamu zaidi kuliko kukimbia ovyo.
Kama wamiliki wanataka mafanikio ya muda mrefu, lazima waache kusaka “project coach” wa kusisimua na badala yake wamuajiri meneja anayolingana na wachezaji tulionao na si upumbavu wanaojaribu kulazimisha kila wakiajiri kocha.
View attachment 3577713
Wanakera kiseng£ ,na hao ni makocha wa misimamo na timu ishaanza kupata balance kabisa katika nyakati zao na walitoka kutwaa makombeRosemary shwaaaaaaaaaah
Hawa wapuuzi wa USA walifanya makosa kumfukuza Tuchel, wakarudia kosa kumfukuza Maressa.
Ngoja tuone watatuletea janga gani lingine
Kwa hii team hatuwezi kupata mtu atakae weza wachallange wale SDAu wampe nafasi Xabi Alonso
Kuna hati hati ya kuletewa kati ya hawa.
1. Marco Silva
2. Andon Iraola
3. Cec Fabrigus
Lembu matajiri wanazingua ila SD nao wanazingua unaqeza fata plan yote ya matajiri kusajili wachezaj wazuri bila hata kuleta wa hovyo
Rayan Cherki anamiaka mingapi??? Semenyo anamiaka mingapi,Xavi Simmon etc
Inshort wachezaj wazuri chini yamiaka 25 wapo ila tuliamua kupoteza hela na hiyo ni swala la SD
Chelsea wana wakurugenzi watano wa michezo (SDs) pamoja na angalau mmoja wa wamiliki mwenza ambaye anahusika moja kwa moja na masuala ya soka. Kwa hiyo kocha yeyote anayehitaji mamlaka kamili juu ya timu asahau kabisa.
@Matt_Law_DT
View attachment 3580860
Chelsea wana wakurugenzi watano wa michezo (SDs) pamoja na angalau mmoja wa wamiliki mwenza ambaye anahusika moja kwa moja na masuala ya soka. Kwa hiyo kocha yeyote anayehitaji mamlaka kamili juu ya timu asahau kabisa.Kwa hii team hatuwezi kupata mtu atakae weza wachallange wale SD
Team gani kubwa ushawah ona ina SD wawili na wote kutoka team ndogo?