Unachekesha ndugu.... sio kwa hawa wamiliki wenu vichwa vimeoza , wawaletee proven players.... bado mtaendelea kujiokotea vitoto vya umitashumta !!!!!!Habari njema
Hato atakuja kuwa beki bora sana
Viongozi wamekaa na wamekubali kuendelea kukaa na wachezaji wazoefu kupanga msimu ujao (Enzo na Cucurella walitingisha kiberiti na imelipa)
Msimu ujao wamiliki wamekubali kusajili wachezaji watakao leta impact ya moja kwa moja
Wako adicted na vitotoUnachekesha ndugu.... sio kwa hawa wamiliki wenu vichwa vimeoza , wawaletee proven players.... bado mtaendelea kujiokotea vitoto vya umitashumta !!!!!!
Hivi wonder kid wetu Estevao maendeleo yake yakoje hapo darajani ? Tuliaminishwa ni Next Neymar Jr
Kanifurahisha sana huyu dogoAliyemsajili Garnacho apewe kesi ya uhaini.
Dogo ni muongo na tapeli sana😅Aliyemsajili Garnacho apewe kesi ya uhaini.
Manchester wamecheka leo, Na kesho tena watacheka 😂
Kumbe upo mwanangu, pole kwa kutiwa na nyumbu 😅😂Manchester wamecheka leo, Na kesho tena watacheka 😂