Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mbona ni kama hawa wachezaji wanataka Rosemary aondoke!!. Yaani huoni hurry, juhudi na kujituma kwa mchezaji mmoja mmoja.
No team linkup, kila mmoja anajichezea ilimradi muda uishe
No passion at all.
 
Timu zinaipenda Chelsea na zinaifagilia njia ya top 4. Tusubiri tuone kama wataitumia nafasi hiyo kwenye mechi yao dhidi ya Everton baadaye leo.
FT: Brighton 2–1 Liverpool.
Vp bado timu zinaipenda na kuifagilia njia chelkenge kwenda top 4?

Mm nasemaga na narudia kusema, ww humu ndo unaongoza kwa kuandika mashudu.
 
Narudia tena hamuwezi kushinda lolote kwa kutegemea magarasa mawili Caicedo na Lavia yani mtapigwa sana hata aje Zidane kuwa kocha
 
Narudia tena hamuwezi kushinda lolote kwa kutegemea magarasa mawili Caicedo na Lavia yani mtapigwa sana hata aje Zidane kuwa kocha
Lavia n tapeli tangu kusajiliwa kwake, wengi humu hua wananipinga khs yeye ila niliwaambia wanipe statics zake wanakimbia πŸ˜‚
 
Vipigo vimezidi mpaka mashabiki wanaulizia namna wamarekani wanyanganywe timu sababu ya vita ya Iran. Kama walivyomtapeli mwamba wa Kirusi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…