Jana Chelsea ilicheza kama timu. Idara karibu zote zilicheza vizuri. Garnacho alichezeshwa in the right way na ona alivyoperform. Ninaamini hata Gittens atacheza vizuri sana ikiwa Chelsea ikiendelea kucheza kama timu hivi hivi.Joao Pedro's first hat-trick kwa Chelsea
Aston Villa 1 - 4 Chelsea
Nilisemaga hii timu ya Aston Villa haina mchezo wowote mzuri, wamefunga timu kiujanjaujanja hadi wakakwea juu kwenye nafasi isiyo yake
Sasa wanaporomoka chini
View attachment 3552595
Ajabu ni kwamba sio Chelsea peke yake ni wadau wote wa mpira mpaka marefaree wanasema. Wewe peke yako ndio unakataa kwa kuwa inavutia kwako wakati huu.Leo hii ghafla Chelsea haijui kwamba kuna ball hand na hand ball. Hawajui kwamba hua inaangaliwa dhamira kabla ta kuucheza mpira.
Our bitches
Kwenye hizi ishu naweza kukuletea rundo la matokeo yaliyokua against kwa Arsenal na watu wakatulia maisha yakaendelea.Ajabu ni kwamba sio Chelsea peke yake ni wadau wote wa mpira mpaka marefaree wanasema. Wewe peke yako ndio unakataa kwa kuwa inavutia kwako wakati huu.
Sanchez ni mzuri kuliko JorgensenNawaza kama Sanchez au Jorgensen angefungwa goli lile la kisigizo alilofungwa jana Man City sijui angeepuka matusi gani humu ndani
Rice alipomkaba Hato alikuwa na dhamira gani? maana kabla hatujaenda kwenye handball tuanzie hapo kwenye ukabajiLeo hii ghafla Chelsea haijui kwamba kuna ball hand na hand ball. Hawajui kwamba hua inaangaliwa dhamira kabla ta kuucheza mpira.
Our bitches
Mmetulia na maisha yakaendelea kwa sababu mmekwapua haki za wengineKwenye hizi ishu naweza kukuletea rundo la matokeo yaliyokua against kwa Arsenal na watu wakatulia maisha yakaendelea.
Tushapata unfair red cards, kipa kashazuiwa asidake, tushanyimwa penati, tushaconcede penati za uongo na marefa wastaafu wakasema.
Hapa naongelea ishu zilizuia kupambania kombe misimu iliyopitaMmetulia na maisha yakaendelea kwa sababu mmekwapua haki za wengine
Rice ni mchezaji wa kwanza kukaba hivi kwenye set piece?Rice alipomkaba Hato alikuwa na dhamira gani? maana kabla hatujaenda kwenye handball tuanzie hapo kwenye ukabaji
View attachment 3552942