AljuniorTz
JF-Expert Member
- Jan 6, 2009
- 544
- 19
Biashara asubuhi, tumapiga mahesabu jioni.
Ni kukandamija kwenda mbele mwanawane, asietaka asage chupa abwie, asukumizie na maji bariidi ya uhai!!!
Terry beki bora!
Hongereni Bluz...u have killled the game.
Mmetuulia kale kajamaa kalikotudhalilisha....
.... BTW; Mtatoka kwa Mr. Bean leo???
Si unajua mwana, ngoma ya kitoto haikeshi. Nyinyi mliwachelewesha wale madogo, matokeo yake wakawaumbua.
BTW; Mtatoka kwa Mr. Bean leo???
Si unajua mwana, ngoma ya kitoto haikeshi. Nyinyi mliwachelewesha wale madogo, matokeo yake wakawaumbua.
BTW; Mtatoka kwa Mr. Bean leo???
Maveterani naona safari hii mmeanza kwa kasi mno but tutawakamata tu
Chelsea are real good mate! it was an entertaining game, matokeo hayaonyeshi uhalisia wa game...ilibidi dogo hawa wapigwe 8-0! Jensen is a good keeper
Mkuu,
heshima mbele. Unajua tungefunga mabao kama hao kuna wangeanza kulalama
eti sijui tunacheza mpira wa netboli....Biashara tumeanza asubuhi!
Heheh veterans mna visa sana lol!! Lakini msije kuishia kuwa kama Liverpool season iliyopita tuu. Bado dakika 15 tukipute na Gunners.