Serious kuna watu wa ajabu!! Aisee huyu kocha kama havuti bange basi kichwani hazipo sawa. Yaani timu inaweza ikacheza vizuri leo, badala ya kustick kwenye winning team kesho anaivurugua yote, wachezaji wakicheza vizuri leo kesho lazima ahakikishe wanaanzia benchi.Yani timu inafanya vibaya wote tunaona ni mistake anazofanya kocha lakini bado kuna watu wanatetea anafanya majaribio kila mechi kama tupo preseason kikosi kila siku kipya wachezaji anachezesha out of position
Sasa kwanini tusiwe na midomo wakati sisi ni mabingwa Dunia au umesahau.Nyinyi watu mmejaaliwa midomo
Haya sasa, kwa hiyo inabidi wacheze vibaya ili wapangweSerious kuna watu wa ajabu!! Aisee huyu kocha kama havuti bange basi kichwani hazipo sawa. Yaani timu inaweza ikacheza vizuri leo, badala ya kustick kwenye winning team kesho anaivurugua yote, wachezaji wakicheza vizuri leo kesho lazima ahakikishe wanaanzia benchi.
Wale wanaovuruga na kuchomesha akina Tosin, Delap ndio rafiki zake kila mechi wamo, wakina Josh, Estevao, Santos wanaocheza vizuri hana habari nao. Yaani sijui anafanya kusudi ili afungwe??!! Afukuzwe apewe fidia!!!
Sawa endeleeniSasa kwanini tusiwe na midomo wakati sisi ni mabingwa Dunia au umesahau.
We kila kitu unatetea? Nafasi gani ambayo hana option?? Yes! Cheza vibaya upewe nafasi, kuna Tosin kila siku yeye ni mzee wa kuchoma ila ndio kama anamshawishi kocha azidi kumpa nafasi, kuna Josh akipewa chance anakupa 99% perfomance ila ndio next hapewi nafasi hata kidogo, kuna Delap mzee wakuwapga wachezaji wenzie vipepsi ila ndio panga pangua anae.Haya sasa, kwa hiyo inabidi wacheze vibaya ili wapangwe
Kwenye nafasi zingine hana option ila kumuweka Santos benchi huku Gusto akicheza CM ni utani na uendawazimu. Bado kocha anajifunza kwa makosa. Akiamua kustick na Santos na Josh badala ya Tosin au Gusto kwenye CM.
Ila najua tu Chelsea itafanya vizuri tena zaidi ya msimu uliopita
Naam subirini baada ya hiyo miaka minne ndo mtapata kombe lingineSasa kwanini tusiwe na midomo wakati sisi ni mabingwa Dunia au umesahau.
Wewe klila kitu unapingaWe kila kitu unatetea? Nafasi gani ambayo hana option?? Yes! Cheza vibaya upewe nafasi, kuna Tosin kila siku yeye ni mzee wa kuchoma ila ndio kama anamshawishi kocha azidi kumpa nafasi, kuna Josh akipewa chance anakupa 99% perfomance ila ndio next hapewi nafasi hata kidogo, kuna Delap mzee wakuwapga wachezaji wenzie vipepsi ila ndio panga pangua anae.
kwani we ukipewa Guiu na Delap unachukua yupi?
Mitano tenaHuyu kocha afukuzwe kabla mambo hayajawa magumu zaidi.
We jamaa maneno yako 🤣🤣Uwezo wa kocha umeishia hapo, unatoa betri unaingiza gunzi
HIi ni ishara kocha hana first eleven maalumu.
Tulipofika sasa hatupo ile nafasi ya kusema tumtimue kocha. Ila kiukweli mechi nyingi tunazoangusha point ni kutokana na maamuzi mabovu ya kocha. Kinachotokea anajisahau mechi tatu au nne anakuja kujirudi mechi tano zinazofuata. Sasa unafukuziaje ubingwa kwa style hii?Wewe klila kitu unapinga
Ikifika treshold mbaya ya kumpinga Maresca au mwingine yeyote nitafanya hivyo
Kwa sasa ni mapoema mno na itakuwa ulimbukeni nkukimbilia tu kupinga kwa sababu wachache wanafanya hivyo. Naheshimu msimamo wa mtu mwingine ila mimi nina viwango vyangu. Almost 70% ya mashabiki hata kama hawafurahishwi na baadhi ya maamuzi ya kocha ila bado wana imani naye. Timu lazima ipitie kwenye ups and downs hadi hapo wachezaji wakomae na au wasajiliwe wachezaji wenye viwango vya juu na uzoefu kwenye kila position.
View attachment 3514171
Kuna maeneo yako wazi yanahitaji wachezaji wa kiwango cha juu. Beki kiongozi wa aina ya Thiago Silva—iwe ni mdogo kiumri au mkubwa—ni lazima awepo. Sidhani kama Mamadou Sarr akiletwa ataweza kuhimili majukumu hayo, japo ni beki mwenye vipaji.Tulipofika sasa hatupo ile nafasi ya kusema tumtimue kocha. Ila kiukweli mechi nyingi tunazoangusha point ni kutokana na maamuzi mabovu ya kocha. Kinachotokea anajisahau mechi tatu au nne anakuja kujirudi mechi tano zinazofuata. Sasa unafukuxoaje ubingwa kwa style hii?
Ukisema asajiliwe wachezaji wengine unataka mchezaji gani zaidi ya Cucurrela, Sanchez, Neto, Gusto, Enzo, Caicedo, Garnacho au Palmer? Nadhani kuhusu wachezaji tusiwasingizie kocha aweke wazi lini bipolar inashika asiingize timu mkenge.
Sio hana first XI, kwa taarifa nilizozisikia kutoka jikoni kama ni za kweli, uongozi wanamtaka kocha afanye rotation wachezaji wote wapewe dakika ili dhamani yao iboreke. Wamekaa kibiashara zaidiHIi ni ishara kocha hana first eleven maalumu.
Mkuu kwa heshima naa taadhima nathibitisha hii sio kweli. Achana na hizo taarifa, kila kinachofanyika ueanjani ni kwa utashi na maono ya kocha mwenyewe.Sio hana first XI, kwa taarifa nilizozisikia kutoka jikoni kama ni za kweli, uongozi wanamtaka kocha afanye rotation wachezaji wote wapewe dakika ili dhamani yao iboreke. Wamekaa kibiashara zaidi
-------------Joao Pedro------------Kesho Maresca hachomoki wa Everton. Tujiandae kisaikolojia.