Kocha wetu tumeshamzoea huwa ana ujuaji mwingi Kuna kipindi alimpanga Fofana beki wa kulia James na Gusto wakapigwa benchi yani anatabia ya kudharau game imagine UEFA inatumika sehemu ya kuwapa wachezaji ambao hawana nafasi Kwenye ligiNyie kweli hamko serious na hela zetu
Tuko pazuri, leo tunatumbukiza 8 ili tuingie nane boraNyie kweli hamko serious na hela zetu
Nilikuwa nawanaangalia Mandem the Penalty specialists 😃😃😃 Hongeren kwa ushindi mjitaid sasa mchukue😃😃
Pace yake ni kubwa mno, atakuja kuwanyanyasa sana oponents. Confident ikikaa mahali pake. Hatua yake moja kawatoka mabeki wawiliGittens Leo kaubonda vibaya ni vile alikuwa anakosa confidence Leo katengeneza nafasi 5 za wazi na kawin man of the match
Na ikanikumbusha wakati wa Pochetino, Madueke, Jackson na PalmerNilipenda namna Enzo alivyompa Estevao apige penalty ule tunauhita ukomavu wa akili na upendo
Nimeona kocha kajifunza Jambo hasa kwenye mechi ile ya Nottingham forest Joao Pedro hasikuwa Palmer namba 9 haimfahi zaidi atakuwa 10 alivyoingia Guiu ile kashikashi aliyoileta ndio namba Tisa halisi kwamaana hiyo kuanzia Sasa Guiu atakuwa anaanza. Ila nikuambie Hata akirudi Delap atakuwa ana kibarua kigumu kwa huyu dogo
Chelsea wazee wa showshow🤣🤣🤠🤠.....na Livakuku mnakaza viuno ila na watotowatoto kama hawa mnagawa tu....na bdo....yaendelee kuwakuta mabaya zaidi....kuku nynyChelsea vs Sunderland
4-2-3-1
Giu back to Back start
Garnacho start
Estevao Willian on the becnh
Twende The Blues
-------Guiu-------
Garnacho---Joao Pedro---Neto
--Fernandez--------Caicedo
Cucurella--Chalobah--Acheampong --James (c)
-------Sanchez------
Bench:
View attachment 3493416
- Filip Jørgensen
- Tosin Adarabioyo
- Wesley Fofana
- Jorrel Hato
- Roméo Lavia
- Andrey Nascimento dos Santos
- Estevão Willian
- Jamie Bynoe-Gittens
- Tryque George