Xavi simonsVaxi ndio nani
Umetoa ufafanuzi mzuri sanaKatika ushindi wa Chelsea 5β1 dhidi ya West Ham tarehe 22 Agosti 2025, EstevΓ£o Willian alipewa tuzo ya Man of the Match (MOTM) kwa sababu kadhaa zilizompa uzito wa kipekee dhidi ya Joao Pedro:
Baadhi ya sababu za Estevao kupewa MOTM badala ya mchezaji kama Joao Pedro ni hizi hapa
1. Uchezaji wa dakika nyingi na athari ya moja kwa moja kwenye hiyo mechi ilikuwa kubwa kuliko ya Joao Pedro
β’ Alianza mechi kwa mara ya kwanza kwenye EPL, akicheza kwa dakika 77.
β’ Alitoa assist ya bao la tatu, akimpa Enzo FernΓ‘ndez pasi ya kuvutia baada ya kuanzisha shambulizi kwa kasi na akili ya juu.
2. Takwimu za kiufundi
Touches: 41
Accurate Passes: 26/32 (81%)
Dribbles Completed: 2/3
Key Passes: 1
Big Chances Created: 1
Duels Won: 5
Tackles: 3
3. Ukomavu wa kiakili
4. Umri na rekodi ya kihistoria
- Baada ya kufanya kosa mapema (kupoteza mpira uliosababisha bao la West Ham), alijirekebisha haraka na kuonyesha resilience ya hali ya juu β jambo lililomvutia kocha Enzo Maresca na mashabiki.
Kwa nini Joao Pedro hakuchukua MOTM?
- EstevΓ£o akiwa na miaka 18 na siku 120, alikua mchezaji mdogo zaidi katika historia ya Chelsea kutoa assist kwenye EPL.
Kwa lugha nyingine:
- Alifunga bao la kusawazisha kwa kichwa, lakini hakuhusika sana katika ujenzi wa mchezo.
- Alionekana zaidi kama finisher kuliko playmaker, huku EstevΓ£o akionyesha uwezo wa kushiriki katika kila hatua ya mashambulizi na ulinzi.
Joao Pedro alifunga na ku assist mara mbili, lakini EstevΓ£o alitawala akili na moyo wa mechi.
Ni kama Pedro alileta jibu, lakini EstevΓ£o akaandika mtihani wote!
Kwa mfano, goli la kwenye hii clip, Esetevao kafanya juhudi kubwa ambayo Joao Pedro asingeweza kufanya na kuurahisisha buildup ionekana soo simple kumbe ni ngumu sana
View attachment 3450027
Huyu dogo anajua, ukiangalia hata namna anavyoupokea mpira anavyouhold na kuuachia, Anajua. Sio kina madueke anadrible mpira unadunda dunda.π¦β‘ EstevΓ£o Willian aling'ara kwa mara ya kwanza rasmi akiwa na Chelsea dhidi ya West Ham mnamo tarehe 22 Agosti 2025.
Katika mechi yake ya kwanza kama mchezaji wa kikosi cha kwanza, kijana huyu wa Kibrazili alionesha kiwango cha juu sanaβakichangia kwa pasi ya bao, akiongoza timu kwa pasi za hatari, dribbles, na hata tackles.
Ingawa alianza kwa kosa lililosababisha bao la West Ham, EstevΓ£o hakukata tamaa. Alijibu kwa kasi, ubunifu, na uamuzi sahihiβakiingia kwenye boksi na kutoa pasi safi kwa Enzo FernΓ‘ndez kufunga bao muhimu.
π Mwisho wa mechi, alitajwa kuwa Mchezaji Bora wa Mechi (Man of the Match) na Sky Sportsβishara ya kipaji chake cha kipekee na utayari wake wa kupambana.
Maresca kuhusu EstevΓ£o:
βTulifungwa bao kwa sababu alipoteza mpira wakati wa kujenga mashambulizi, lakini anahitaji makosa kama haya ili ajifunze. Kwa ujumla, ameonesha kiwango cha kuvutia.β
Marc Cucurella alimsifia akisema:
βNi kijana mdogo, lakini ameonesha ukomavu wa hali ya juu. Alichukua maamuzi sahihi sana. Wachezaji wote wapya, wale waliosajiliwa msimu huu, wamekuja kusaidia timuβkuleta kitu kizuri, nguvu chanya, na vipaji vya hali ya juu...β
View attachment 3449767
πππHuyu dogo anajua, ukiangalia hata namna anavyoupokea mpira anavyouhold na kuuachia, Anajua. Sio kina madueke anadrible mpira unadunda dunda.
Pedro Neto anaitetea nafasi yake vizuri sana na ndio maana ya ushindani wa nafasi.Watu namsahau sana kumzungumzia Pedro Neto jamaa tangu kwenye michuano ya club bingwa ya Dunia amekuwa nakiwango kikubwa sana akiwa na mpira anakuwa affective lakini pia anasaidia kwenye ukabaji team ikiwa haina mpira
RB Leipzig hawana team nzuri ni ngumu kuonekana lakini pia commitment ya mchezaji ipo low kwasababu ya rumors transfer ndio maana kwenye team zinazojitambua wachezaji wanaohusishwa moja kwa moja kuondoka huwa wanawekwa pembeni Kama tulivyofanya sisi kwa Jackson na NkukuPedro Neto anaitetea nafasi yake vizuri sana na ndio maana ya ushindani wa nafasi.
Ila pia Chelsea ni timu nzuri sana, mchezaji anaweza asifanye vizuri kwenye timu fulani lakini akija Chelsea hii ya sasa lazima atafanya vizuri
Mfano jana Xavi Simons hakuonekan kabisa kwen ye kipigo cha 6-0 dhidi ya Bayern Munich ila akija Chelsea na chemistry iliyoko hapa utashangaa atakapowika vivyo hivyo kwa Alehandro Garnacho
Anajua kujiposotion dogo ni balloon d'o material anajua wapi akae ili apate mipira kwenye maeneo hatari ndio maana huwa anafunga kitu ambacho Madueke alikuwa hafanyi anachojua kukimbia na mpira tuHuyu dogo anajua, ukiangalia hata namna anavyoupokea mpira anavyouhold na kuuachia, Anajua. Sio kina madueke anadrible mpira unadunda dunda.
Wazee wa sekandi plesi, kwa kupiga biti!! Wachazaji wenyewe akina madueke.Nyie takataka mnacheza na timu mbovu bado mnaruhusu goli
Ngoja mkutane na arsenal tuwapige tena tano
Halafu naona kama bado kati kuna matundu hatari.Anajua kujiposotion dogo ni balloon d'o material anajua wapi akae ili apate mipira kwenye maeneo hatari ndio maana huwa anafunga kitu ambacho Madueke alikuwa hafanyi anachojua kukimbia na mpira tu
Ni kutokana na aina ya mpinzani tunayecheza nae Wanadefence ndio maana tunakuwa hivyo ila usitegemee uchezaji wetu utakuwa huu tukicheza na team kubwa wenzetuHalafu naona kama bado kati kuna matundu hatari.
Kila timu msimu huu ina matunduNi kutokana na aina ya mpinzani tunayecheza nae Wanadefence ndio maana tunakuwa hivyo ila usitegemee uchezaji wetu utakuwa huu tukicheza na team kubwa wenzetu
Netflix FCNyie takataka mnacheza na timu mbovu bado mnaruhusu goli
Ngoja mkutane na arsenal tuwapige tena tano
Man city ni kawaida yao kwenye transition huwa wabovu nachopenda kwa Enzo Maresca huwa anabadilika sana anapocheza dhidi ya strong opponent huwezi kukuta Enzo Fernandez anacheza no 8 lazima Kati anaweka watu wa kazi Caicedo na Laiva au Caicedo na James na structure yetu ya uzuiaji inakuwa nzuri ni Kama vile tulivyowafanya PSG.Msimu uliopita tuliangushwa na baadhi ya takataka Kama Madueke na kosa kosa ya Jackson Sasa tunaosilaha zote za maangamizi mbele wazuri Kati tupo vyemaKila timu msimu huu ina matundu
Mfano Liverpool na City wabovu kwenye transition na ndio iliyowagharimu City leo hata Liverpool walipocheza na Bornemouth japo walishinda lakini kwa vile hawakukutana na ile Bornemouth ya mwaka jana inayojua kufanya transition za hatari
Arsenal wazuri ila hawako serious, utashangaa tu na uzuri wao watapoteza mechi nyingi. Sisemi Chelsea tutachukua ubingwa ila gepu tutapunguza sana iwe tunashika nafasi ya pili, 3 au hata 4 ila gepu la point zitapungua
Msimu huu tunaweza ona neema kama hatutasongwa na MajerahaaMan city ni kawaida yao kwenye transition huwa wabovu nachopenda kwa Enzo Maresca huwa anabadilika sana anapocheza dhidi ya strong opponent huwezi kukuta Enzo Fernandez anacheza no 8 lazima Kati anaweka watu wa kazi Caicedo na Laiva au Caicedo na James na structure yetu ya uzuiaji inakuwa nzuri ni Kama vile tulivyowafanya PSG.Msimu uliopita tuliangushwa na baadhi ya takataka Kama Madueke na kosa kosa ya Jackson Sasa tunaosilaha zote za maangamizi mbele wazuri Kati tupo vyema