Msimu huu Chelsea anampiga Liverpool nje ndani...Sasa sasa Liverpoon asilete timu uwanjani.Kwani we pesa isiyo Yako inakuuma nini si ndio vizuri Ili nyie mbebe makombe yote au umepagawa hutaki timu Yako ibebe makombe acha Liverpool wasajili vibaya ilo mbebe makombe shida Iko wapi kwani🤣🤣🤣🤣🤣
Hainihusu mim i ila inawahusu ninyi na PSR mtakapoanza kulia lia kwa sababu ya restrictiosn kama inavyoikamnalia sasa hivi Nyumbu wa SerengetiKwani we pesa isiyo Yako inakuuma nini si ndio vizuri Ili nyie mbebe makombe yote au umepagawa hutaki timu Yako ibebe makombe acha Liverpool wasajili vibaya ilo mbebe makombe shida Iko wapi kwani🤣🤣🤣🤣🤣
Mbona kama umechanganyikiwa akilo kama haukuhusu shobo za nini kwenye kitu kisichokuhusuHainihusu mim i ila inawahusu ninyi na PSR mtakapoanza kulia lia kwa sababu ya restrictiosn kama inavyoikamnalia sasa hivi Nyumbu wa Serengeti
Wewe inakuuma sana ndio maan ukaja kuvamia jukwaa na huyo utopolo wako IsakMbona kama umechanganyikiwa akilo kama haukuhusu shobo za nini kwenye kitu kisichokuhusu
Shida nini mbona kama umechanganyikiwa akili au ndio uzee maana umejiunga humu 2009 inaonekana uzee unakusumbuaWewe inakuuma sana ndio maan ukaja kuvamia jukwaa na huyo utopolo wako Isak
Wewe ni Livafool kweli kweli😀Shida nini mbona kama umechanganyikiwa akili au ndio uzee maana umejiunga humu 2009 inaonekana uzee unakusumbua
Nimegundua umezeeka ndio maana umechanganyikiwa kazi na umriWewe ni Livafool kweli kweli😀
Mmeliwa mbele nyuma tunasubiri tu manifestation mbwa koko weweNimegundua umezeeka ndio maana umechanganyikiwa kazi na umri
Hasira za nini we mzee kazi na umri jitu tangia 2009 lipo humu inamaana ni lizee kazi na umri achia vijana akili ishakuruka🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mmeliwa mbele nyuma tunasubiri tu manifestation mbwa koko wewe
Safi bado XaviDone deal.. Chelsea complete signing jorrel hato from ajax.
Itakua vizuri zaidi.Safi bado Xavi
Sana hapo colwill atasimama dogo HatoItakua vizuri zaidi.
Tutakuwa tumekamilika kila idara.. tusubiri ligi ianze tufundishe watu heshima.Sana hapo colwill atasimama dogo Hato
Hili dili la Jorrel Hato bado sana, sio leo wala kesho. Inaweza ikaenda 3 to 4 days. Pamoaj na hilo la Xavi SimonsDone deal.. Chelsea complete signing jorrel hato from ajax.
Duh kwanini au mpaka wauze wachezaji kwanza sioHili dili la Jorrel Hato bado sana, sio leo wala kesho. Inaweza ikaenda 3 to 4 days. Pamoaj na hilo la Xavi
Hapana, wachezaji wa kutosha wameshauzwa, ni negotiation tu kwa sababu Ajax wanatakla zaidi ya milioni 50 bei sawa na ya Martinez kwenda Man United wakati Cheslea wao wanataka iwe chini ya mil 50Duh kwanini au mpaka wauze wachezaji kwanza sio
Sawa mkuu acha tuendelee kusubir tuna imani na bodi itafanikisha hili dealHapana, wachezaji wa kutosha wameshauzwa, ni negotiation tu kwa sababu Ajax wanatakla zaidi ya milioni 50 bei sawa na ya Martinez kwenda Man United wakati Cheslea wao wanataka iwe chini ya mil 50
Hahahaha South Africa tena