Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

😂 Guys hili game n sahihi tunavyofungwa hv, hawa jamaa wako vzr mno.

Kipa mwnyw anapanua mikono tuu hakuna la maana

Haya ngoja nikalale
 
Ila Sanchez sio kipa yaani anakitete ile mbaya me nikajua atakifanyia kazi lakini wapi
Sasa kama unakocha wa championship unategemea nini
Palmer hana anachofanya kwenye RW ila kocha hajui cha kufanya wachezaji out of position kila mechi utafikiri ndio kwanza anaanza msimu
 
Sasa kama unakocha wa championship unategemea nini
Palmer hana anachofanya kwenye RW ila kocha hajui cha kufanya wachezaji out of position kila mechi utafikiri ndio kwanza anaanza msimu
Lwo palmer anaruka ruka tuu...huyu mwengine anaingiza sub anaanza rukia watu
 
Kocha mie naona mjinga jemsi kamuweka kucheza nni saa yaani mie naona hiii timu niache kufatilia mpka maresca atakappfukuzwa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…