Tulisema hivi hivi kwa Cole Palmer, hakuwa na uzoefu, from nowhere sasa ni talisman wa ChelseaDelap ni Hojlund mwingine tu hakuna teka hapo,,,, ! Mtasingizia tu mmemchukua kwa bei poa ! Bora mngekomaa kwa wale proven Victor ohsimen na Victor Goyk ! !!!!
Huyo ni squad player tu, wakabadilishane na Jackson!!!! Bora hata Victor Boniface wa Liverkusen, au Sesko Benjamin
Mtakatifu AnneAlishtuka baada ya mechi kuisha
😂😂😂😂
Niliahidi msimu janaMtakatifu Anne
Nimekumiss sana sana
Bado nakumbuka ahadi yako ya kutoa chochote Liverpool akibeba ubingwa😀😀✔️
Sancho si mchezaji mbayaChelsea wako kwenye mazungumzo na wawakilishi wa Jadon Sancho kuhusu masharti mapya ya mkataba. Maresca anamkubali sana Sancho, na ikiwa atakubali kupunguza mshahara wake mkubwa ili ulingane na muundo wa mshahara wa sasa wa Chelsea, atabaki. Katika hali hiyo, Chelsea itatumia kipengele cha kununua mkopo cha £25m.
View attachment 3349951
Ninaposema so easy nina maana hatumii nguvu nyingi sana kufunga. Mchezaji anayerahiosiha ufungaji daima ni yule anayejua mpira. Sancho ana akili ya mpira, anachokosa ni kuweka bidii tu. Wachezaji wengi wenye IQ ya mpira wengi wao ni wavivu. Hata Hazard kocha alimlalamikia sana ni mvivu kwenye mazoezi. Juzi juiz hap Obi M ikel naye kakiri kuwa Hazard alikuwa mvivu kwenye mazoezi ila akiwa uwanjani anakuwa ni Hazard tofauti na wa Mazoezi, Mou alishawahi kumsema Hzarda akiwa na MIaka 22 , mwaka wake wa kwanza Chelsea kuwa ni mvivuMkuu unasema magoli anayofunga Sancho so easy na wakati ule ndio uwezo wake umekufanya uone ni rahisi sana. Nadhani anayo room ya kuimprove hatutakiwi kumpoteza kabisa
Hata ule msimu Sunderland kapanda ligikuu 16/17 tulikua na muiTaliano Conte tukachukua ubingwa.
Mkuu Sancho anakua chini ya mikono salama nadhani anayo nafasi ya kujirekebisha na kufanya vizuri.Ninaposema so easy nina maana hatumii nguvu nyingi sana kufunga. Mchezaji anayerahiosiha ufungaji daima ni yule anayejua mpira. Sancho ana akili ya mpira, anachokosa ni kuweka bidii tu. Wachezaji wengi wenye IQ ya mpira wengi wao ni wavivu. Hata Hazard kocha alimlalamikia sana ni mvivu kwenye mazoezi. Juzi juiz hap Obi M ikel naye kakiri kuwa Hazard alikuwa mvivu kwenye mazoezi ila akiwa uwanjani anakuwa ni Hazard tofauti na wa Mazoezi, Mou alishawahi kumsema Hzarda akiwa na MIaka 22 , mwaka wake wa kwanza Chelsea kuwa ni mvivu
Maresca anatosha ama aje mwl mwingine ? Mseme kabisa ili msije kulia lia , ooh mwl kasajiliwa wachezaji, hao sio wake, Mara mwalimu hakupata pre season n.k ! Conte anatikisa kiberiti huko Naples, nendeni mkamchukue awape EpL na Uefa asepe zake !
Kuna huyu mwamba anaitwa Hugo Ekitike, Chelsea inashindana na Liverpool kuwania sign yake..Delap ni Hojlund mwingine tu hakuna teka hapo,,,, ! Mtasingizia tu mmemchukua kwa bei poa ! Bora mngekomaa kwa wale proven Victor ohsimen na Victor Goyk ! !!!!
Huyo ni squad player tu, wakabadilishane na Jackson!!!! Bora hata Victor Boniface wa Liverkusen, au Sesko Benjamin
Huu mpira wanaocheza PSG kwa dakika 15 za mwanzo, Maresca mpaka anastaafu ukocha hatokaa aweze kuufundisha.
Luis Enrique alianzia darajani mazungumzo kusajiliwa kuwa Kocha mpya kabla ya Kocha Maresca akina Todd Bohel walimkataa baada ya kuona misimamo yake kitaaluma na kimasilahi, maajabu hadi sasa bado tu Kocha Maresca hajafukuzwa kibarua zaidi ya kumuongezea.Maresca sio kocha niliwambia hapa since day one anapewa timu, yule ni kilaza sijapata kuona.
Maresca ni takataka, yaani hatutaachieve chochote na huyo takataka. Kwa walioangalia mpira wa PSG ndio waone chelsea hakuna mpira tunaocheza miback pass na side ways pass. Tutaenda kutia aibu huko UEFAHuu mpira wanaocheza PSG kwa dakika 15 za mwanzo, Maresca mpaka anastaafu ukocha hatokaa aweze kuufundisha.
Tunaongeza matakataka tu. Badala ya kuyapunguza.Sancho si mchezaji mbaya
pia bora asajili GANACHO ila sio huyo DELAP ni Niko jaskon wa 2