Bingwa wa dunia ya kwa mpalange labda.Nani kakudanganya😂
Nimefunga DStv kwa ajili ya soka zuri la kimataifa.
Sisi mabingwa wa Dunia.
Hata kuokota mipira tu mkuu? 😀 😀 😀Bingwa wa dunia ya kwa mpalange labda.
Hapo kwenye bingwa wa dunia hebu kuwa na heshima kidogo.
Miamba inakutana USA mwezi juni huku City akiwa ndiye bingwa mtetezi (klabu bingwa ya dunia), Loserfools hata kwenda kuwa mnaokota mipira tu kwenye hayo mashindano hamuwezi achilia mbali kushiriki 😂😂😂
Mambo mrembo[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nitafurahi sana endapo Utd wanaoshika nafasi ya 16 wakifanikiwa kwenda Uefa, halafu hizi kenge ziikose top5 msimu ujao zikacheze Europa. View attachment 3339038
Duh yani Arsenal w kamfunga Barcelona w ?!!? ,mpira bhn mda mwingine unashangaza sanaWanawake wa Arsenal oyee!
Mkisema mpira ni ufundi, nguvu, vipaji na au mwalimu bora na blaa blas zingine mimi nakataa kwa sababu Barcelona wanazo zote.
Barcelona iliyotupondea wanawake wetu kwa goli 8-2 leo hii tena kwenye finali kubwa kama hiik wamekubali kutobolewa na vibonde wa Chelsea!
Katafute record za hii timu away msimu huu then uone hilo neno kibabe kama linastahili kutumikaLeo tunafunga msimu kibabe lazima tufunge leo ili tucheze uefa
Pamoja na kufanya vizuri zaidi ya Pochettino, Maresca kabebwa na afya njema za wachezaji muhimu, Lavia, James, na ule utitiri wa injiuury haukuwepo sana msimu huu. Wakati wa Pochettino kila wiki kuna majeruhi ya wachezaji muhimu sio mchini ya 10.lembu una lakusema kuhusu kuwalinganisha uwezo kocha aliyepita na huyu wa sasa ulisema utawalinganisha msimu ukiisha nini maoni yako kati ya mashavu na huyu kocha