Wastani wa umri wa mchezaji wa Feyenoord Rotterdam ni miaka 23.8, huku Chelsea FC wastani wa umri wa miaka 23.9. Licha ya hayo, Maresca anadai kwamba hawawezi kushindana katika Kombe la Carabao, Kombe la FA, au kumaliza katika nne bora. Tuna kocha wa hovyo sana.
Na wewe ndg uko too extreme🙄, kila mtu kwako ni takataka, nawasiwasi hata mimi unaniona takataka😀😀😀😀Humu ndani watu wanachekesha sana, kipindi nilikuwa nawambia kuwa huyu kocha ni takataka na hafai kuwa kocha wa klabu kama Chelsea mlinijia juu sana, leo naona nyote mnamponda na kusema ni tatizo. Mimi nikiwambia jambo muwe mna elewa, kwenye ukweli tuwe tunasema tu ata kama ni mchungu.
Nawambia tena huyu Palmer ni takataka tu, bisheni tena ila ipo siku mtakubali.
Na wewe ndg uko too extreme🙄, kila mtu kwako ni takataka, nawasiwasi hata mimi unaniona takataka😀😀😀😀
Sote binadamu, kuna vitu vingine huwezi jua hadi itokee. Ukweli ni kwamba Maresca alifanya vizuri hadi December tulipocheza na Everton ndio jahazi likaanza kuyumba hadi leo.
Madhaifu ya kocha tuliyojua tangu mwanzo ila matokeo yalitubumbaza.
Kwa kweli ujio wa Maresca sikucomment chochote kwa sababu nilitoka kurushiwa madongo ya Pochetino.
Mara nasikia huko pre season Maresca ni hatare, mara msimu umeanza unapigwa mpira mwingi, sasa hivi Maresca amekuwa fuko.
CorrectionCASH-money-forever
Inaonekana leo Maresca ameamua kuweka ulinzi shirikishi
View attachment 3245597
Bench
1) Sanchez
2) Tosin
3) Sancho
4) KDH
5) George
6) Asheampong
7) Amougou
8) Samuels-Smith
9) Mheuka
Hakutumia huo ulinzi bana, kaenda na mfum o wake, ni wachezaji tu amewabadilsihuai majukumuUlinzi shirikishi ndio utamaduni wetu wa ushindi.