Basi amchape viboko ili acheze vizuri maana karidhika na ile hatrick ya Wolves hadi msimu ujao wakati Estevao Willian na Kendry PaezNimesoma chief kumtoa Madueke kikosini na kumpanga Enzo ndio kucheza pungufu huko. Maresca anapenda kuwapanga mawinga wa one v one. Hawezi kumweka Madueke benchi
Mkuu umeandika hii comment upo ndani ya SGR nini?
Usikurupuke ku comment kama hauna info uona sasa nakuaibisha kwa kuletea ushaidi hapo juuMkuu umeandika hii comment upo ndani ya SGR nini?
Umeelewa kwanza nilichokua nimemaanisha? We darasan ulikua unakua wa ngap?Usikurupuke ku comment kama hauna info uona sasa nakuaibisha kwa kuletea ushaidi hapo juu
Nachukiaga sana huu upuuzi, yn card hata haina kichwa mtu analazimisha kupewaKadi ya njano ya madueke ni ya kijinga sana
Naona leo hapo katikati ubabe mwingi ,ila bado hatujatulia kule mbele kwenye attackingMpira wa nguvu sana hapo Enzo angepangwa angejiharishia.