Sioni sababu ya Gusto na James kucheza pamoja wakati Cucurela yupo vizuriMadueke, Gusto mpira mbovu leo
Naona Madueke ameridhika kila mechi anaanza, hajui kuwa Mudryk yuko, hajui kuwa Estevao Willian anakuja mwakani
Ongeza na MaduekeDah Bakayoko alikuja na jina kubwa sana. Aliyemsajili Badieshile akamatwe haraka sana. Disasi a.k.a Kondoo wa Merino tumuuze Crystal palace.
Alijiposition vbibaya na ndio tabia yake. Ule mpira asingeweza kuukuta. Alitakiwa kuhisi mashambulizi arudi nyum,a ili aweze kumkabili oponentHivi ule mpira Fofana ni wakuukosa kwa kichwa kama sio utakataka tunausema humu
Madueke ni mzuri, anahitaji kocha wa kumsukuma nakumchapa viboko. Ni rahisi kujisahauOngeza na Madueke
Kitu kilichokosekana ni ubunifu wa na agressiveness hasa kwa upande wa mawinga wetu leo. Madueke alipoa sana na Neto moment zake za kufanya vizuri huwa ni chache na ndio maana Sacho akiwa kwenye form ni vigumu sana Neto kuanzaTumecheza vizuri point 1 muhimu. Timu inaenda ikiimarika ukilinganisha na msimu uliopita.
Madueke na Sanchez ni matakataka
Kikosi bado kichanga tuwape muda Kochana wachezaji hope wataimarika huko mbeleni. Tuvumilie kwa sasa wakati timu inajengwa. Ki takwimu tuko vizuri mpaka sasa ukilinganisha na msimu uliopita.Kitu kilichokosekana ni ubunifu wa na agressiveness hasa kwa upande wa mawinga wetu leo. Madueke alipoa sana na Neto moment zake za kufanya vizuri huwa ni chache na ndio maana Sacho akiwa kwenye form ni vigumu sana Neto kuanza
Kocha takataka tena? Huu ndio kwanza mwezi 4 kama kocha, wachezaji na Kocha bado wanaendelea kusomana na kuelewana. Tuwape muda angalau mwaka 1 mifumo isomane.Kila uchwao nawambia hapa, kocha nae ni takataka tu.
na kocha naye mchanga tumpe mudaKocha takataka tena? Huu ndio kwanza mwezi 4 kama kocha, wachezaji na Kocha bado wanaendelea kusomana na kuelewana. Tuwape muda angalau mwaka 1 mifumo isomane.
Tuachane na matarajio ya kubeba ubingwa wala kumaliza top 4. Tupime kuimarika kwa timu ukilinganisha na tulipotoka na mbele kuna mwanga?
Kuchezesha wachezaji nje ya nafasi sio tatizo kwangu. Tatizo huanza wakati mbinu haifanyi kazi. Kumchezesha Gusto nje ya nafasi haifanyi kazi hata kidogo na ikiwa Maresca atakuwa mgumu kurekebisha hilo, atakuwa kwenye kapu moja na Pochettino. Natumai Mechi zijazo Gusto atakuwa sub ya James na sio lazima waanze wote.Performance yetu dhid ya UTD ndio worse performancev mpka sasa katika game tulizocheza.
Jana tulikuwa clueless tukifika final third.
Maresca ni mda wa kuacha kufanya majaribio ya James na Gusto.
Maresca jins alivyoserious na wachezaj wengine wanaozingua inabidi awe serious na na hawa Gusto,Madueke na Sanchez + Fofana
Mpaka mifumo isomanena kocha naye mchanga tumpe muda
na wamiliki nao wachanga tuwape muda
mpaka lini?