Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 16,055
- 27,460
Alipokuja Potter maneno yalikua haya haya, akaja Poch maneno yakawa hayahaya, sasa hivi kipara nae maneno ni hayahaya. Ataondoka atakuja mwingine bado itakua hivi kila msimu tunapishana na makombe kwa sababu wapo kwenye process za kujenga timu imara miaka 3-4 ijayo. SMH!!!Enzo Maresca anakwambia wakati anapewa mkataba wa kazi hakuna kipengele chochote kilichomtaka kubeba Kombe wala kumaliza top 4 EPL. Bali ni kuhakikisha anajenga team ambayo miaka 4 au 5 ijayo inaweza kuwa shindani kwenye makombe.
Mashabiki kwa Sasa tuache kuwa na over expectation ya kushinda kila mechi, team bado ina kikosi kichanga, tumuache kocha andelee kujenga team kwa principle ya Try & error mpaka ajipate.
Mkuu kwani kutochukua makombe since Abromovich aondoke changamoto ni makocha au wamiliki?Alipokuja Potter maneno yalikua haya haya, akaja Poch maneno yakawa hayahaya, sasa hivi kipara nae maneno ni hayahaya. Ataondoka atakuja mwingine bado itakua hivi kila msimu tunapishana na makombe kwa sababu wapo kwenye process za kujenga timu imara miaka 3-4 ijayo. SMH!!!
Hii sio Chelsea yangu nayoipenda na kuijua.
Wote ni changamoto. Wamiliki hovyo na makocha nao mulemule wanaishi kwenye uhovyo wa wamilikiMkuu kwani kutochukua makombe since Abromovich aondoke changamoto ni makocha au wamiliki?
Hizi ndio kauli za makocha wasio na uwezo kama Arteta. Atajificha kwnye hicho kichaka cha kujenga timu miaka minne tupo tu makombe yanachukuliwa na wengine. Ni ufala.Timu bado changa haina uwezo wa kuanza kubeba vikombe kwa sasa, tuheshimu kauli ya kocha mpaka misimu 4 au 5 ijayo.
Tumuache kocha aendelee kusuka mifumo, mbinu & style za uchezaji na kuendelea kufanya sajili za kimkakati.
Hii issue ya age ndiyo kinga pekee iliyobakia, je akina Disasi na Badiashile pia tuendelee kujipa matumaini kwa kigezo cha umri?sasa mkuu jackson kafanga nini?? Hao wakina Van Persie n Costa katika age ya Jackson walikuwa wanafanya nini
Ila maisha bhana, ngoja tuwe na subira tuone ila kiukweli ni tia maji tia maji sana.Jackson ana miaka 22 ana potential kubwa ya kuwa striker mkubwa huyo Drogba na Diego Costa wamekuwa bora kuanzia miaka 25+
Chifu imeenda hiyo....Diego Costa alikuja Chelsea alishakuwa world class na akiwa na miaka 26
Mnapolinganisha wachezaji muwe fair kwa level ya mchezaji
Ulishawahi fikiria akina Van Pasie, Costa, Didie Drogba performance yao ilikuwaje wakiwa kwenye level ya Jackson?
Jackson sio world class striker ila kwa kiwango alichoonyesha recently ni Halaand tu pale EPL ndio bora zaidi yakeHii issue ya age ndiyo kinga pekee iliyobakia, je akina Disasi na Badiashile pia tuendelee kujipa matumaini kwa kigezo cha umri?
Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Kuna huyo kiazi anaitwa Badiashile aisee hana akili hata kidogo ananikera akiwa na mpira anasimama nao hapo hapo anaangalia ampasie nani hata kama kuna room ya yy kusogea na mpira ataganda nao hapo hapo kama katiwa gundi, atasimama nao hat dk.2 anaishia kutoa back pass. Cjui huwa haangalii akina VVD wanavyofanyaga.Hii issue ya age ndiyo kinga pekee iliyobakia, je akina Disasi na Badiashile pia tuendelee kujipa matumaini kwa kigezo cha umri?
Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Mkuu humu ndani sidhani kama kuna mtu alikua ananizidi mimi kumkandia Jackson. Msimu uliopita na msimu huu kiukweli jamaa ame improve sana. Kinachofanya nianze kumkingia kifua ni ukweli kwamba umri wake bado mdogo anayo nafasi kubwa kubadilika na kufanya vizuri zaidi. Japo daraja lake bado ni average hayupo juu (Classy) sanaIla maisha bhana, ngoja tuwe na subira tuone ila kiukweli ni tia maji tia maji sana.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Hiyo style yake ya kusimama kimuonekano utadhani kabanwa na haja kubwa.Kuna huyo kiazi anaitwa Badiashile aisee hana akili hata kidogo ananikera akiwa na mpira anasimama nao hapo hapo anaangalia ampasie nani hata kama kuna room ya yy kusogea na mpira ataganda nao hapo hapo kama katiwa gundi, atasimama nao hat dk.2 anaishia kutoa back pass. Cjui huwa haangalii akina VVD wanavyofanyaga.
Unajisumbua bure tuu Mkuu, wakurugenzi macho na moyo wao upo kwa Victor Osmeh.Tufanye juu chini Januari tumchukue Viktor Gyokeres kabla kocha wake hajaondoka nae kwenda UNYUMBUNI.
Unajisumbua bure tuu Mkuu, wakurugenzi macho na moyo wao upo kwa Victor Osmeh.
Usibadili mada, mashambulizi yalikuwa kwa Jackson na majibu yametolewa kwa kumtetea Jackson sio DisasiHii issue ya age ndiyo kinga pekee iliyobakia, je akina Disasi na Badiashile pia tuendelee kujipa matumaini kwa kigezo cha umri?
Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Stupid kabisa, kumbe na wewe umekerwa na hiyo tabia, anashika na kiuno kabisa akisubiri mpinzani ajeKuna huyo kiazi anaitwa Badiashile aisee hana akili hata kidogo ananikera akiwa na mpira anasimama nao hapo hapo anaangalia ampasie nani hata kama kuna room ya yy kusogea na mpira ataganda nao hapo hapo kama katiwa gundi, atasimama nao hat dk.2 anaishia kutoa back pass. Cjui huwa haangalii akina VVD wanavyofanyaga.
Chelsea wamekazana na Victor OsimhenTufanye juu chini Januari tumchukue Viktor Gyokeres kabla kocha wake hajaondoka nae kwenda UNYUMBUNI.
Omsiheni hana maajabu yoyote, mara 100 tubakie na Jackson huenda baadaye akatufaa zaidi.Chelsea wamekazana na Victor Osimhen
AcHa dharau ......ishu ni basic ya mpira ...mayele mpira kaufahamu huenda ana 24....wakati mwenzako yupo academy since year 14Sasa mkuu Jackson ana ubaya gani