juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,976
- 5,466
Hao Jamaa na sarakasi zao kamaapimbi vile, mara leo Ma City anahusika na tuhuma za FFP 115 wanachunguza, mara muda wowote watatoa hukumu kuishusha EPL daaah...🤗PL chief executive Richard Masters on the Chelsea investigation:"Obviously what we're talking about is something historic; it's complicated where we have the club talking to us about things that happened under previous ownership. All I can say is that the investigation and discussions are reaching a conclusion, but until that happens, I can't say what's going to happen next.
James alishacheza mara nyingi hapo. Idea ni kwamba hao wote ni wageni inexperience watatutosa sana ligi ikianza. Pre season ni mawingu, mvua inafuataHapo kwa James umepuyanga , James anaweza cheza kama central defender ,?
Tosin na veiga Ndio wacheze mabeki wa kati kushoto acheze cucurela na kulia Gusto au James
Huyo kivyovyote anauzwa ndio maana amepelekwa kule kwenye academyJiwe walilokataa waashi litaenda kuwa jiwe kuu la pembeni. Welcome back Mr. Gallagher a.k.a Nuclear propeller
Nuclear Propeller itarudi uwanjaniHuyo kivyovyote anauzwa ndio maana amepelekwa kule kwenye academy
Mpira vurugu hauitajiki sahivi, atapelekwa akacheze mpira wake wa vurugu huko kwa watoto.Jiwe walilokataa waashi litaenda kuwa jiwe kuu la pembeni. Welcome back Mr. Gallagher a.k.a Nuclear propeller
Pale maji yatakapozidi unga low energy uwanjani ndio mtaamkumbuka Rocket Propeller muanze kulia na kusema Gallagher Gallagher mbona umetuacha.Mpira vurugu hauitajiki sahivi, atapelekwa akacheze mpira wake wa vurugu huko kwa watoto.
Ghallagher angekuwa na akili ya mpira kidogo angekuwa mchezaji mzuri sana ila ndio hivyo tena , mapafu ya mbwa kama Kante ila hana akili ya mpira kama KantePale maji yatakapozidi unga low energy ndio mtaamkumbuka Rocket Propeller muanze kulia na kusema Gallagher Gallagher mbona umetuacha.
Gallagher bado mbichi hajafikia peak yake, ana miaka 24 tu na ndio wkanza career yake inaweka kasiGhallagher angekuwa na akili ya mpira kidogo angekuwa mchezaji mzuri sana ila ndio hivyo tena , mapafu ya mbwa kama Kante ila hana akili ya mpira kama Kante
AkA TingaTinga hahahaha......Pale maji yatakapozidi unga low energy ndio mtaamkumbuka Rocket Propeller muanze kulia na kusema Gallagher Gallagher mbona umetuacha.
Sijaielewa hii, wamepanga based on nini? Imekuaje man city akawa w kwanza then madrid ya pili?Nafasi za Klabu za UEFA kabla ya msimu mpya kuanza 2014/25- Chelsea katika 10 Bora.
View attachment 3071235
UEFA wanatumia Club coefficients factor ambayo ni mkusanyiko wa points kila timu inaposhiriki mashindano yeyote ya UEFA na jinsi inavyosonga mbeleSijaielewa hii, wamepanga based on nini? Imekuaje man city akawa w kwanza then madrid ya pili?