Aliyekuwa worse ni Mudryk, Caicedo na Enzo bado wako likizo, Madueke naona amedhamiria kubaki first XI,Wachezaji wetu gani walikuwa bora? Sikuicheki game
Sanchez hakufaa hata kusajiliwa hap, huwa sielewi why walimsajili kipa ambae hata De Zerbi tu alimuondoa golini.Sijui wanaona nini kwa huyu kipa
Afadhali Kepa mara dufu ya SanchezSanchez hakufaa hata kusajiliwa hap, huwa sielewi why walimsajili kipa ambae hata De Zerbi tu alimuondoa golini.
Ni swala la mda tu atakuwa 2nd choice, Jorgensen naona kabisa akimnyanganya namba
Hapana si kweli ndio maana wakasajili kipa mwingineSanchez Bonge la garasa ila maajabu ya duniani eti ndiye kipenda roho cha huyu Kocha tapeli Maresca 🤔🤣
Nadhani Maresca ameshaona tofauti ya Sanchez na Filip na naona mbeleni Sachez ataozea benchiHapana si kweli ndio maana wakasajili kipa mwingine
Preseason ya 2010 Chelsea ilifanya vibaya sana lakin i bado ilishinda FA na Ligi
View attachment 3061849
Lengo kuu la ushabiki ni kujipa raha, ili kuondokana na mastress yasiyo ya muhimu, have a good dayUnapenda sana kujifariji
Don CarloPreseason ya 2010 Chelsea ilifanya vibaya sana lakin i bado ilishinda FA na Ligi
View attachment 3061849
Aende tu mpira vurugu huko Atletico ndiko patamfaa.Kakubali hatimaye
View attachment 3061938
Nashangaa wanaolalamika!! Angalao kuna kamwanga kanaonekana japo tunafungwa, na tunafungwa tu kwa makosa ya mabeki, na makosa hayo yanarekebishika.
Yeah, angekuwa Cole Palmer hapo angenyanua mpira umfikie mfungajiNashangaa wanaolalamika!! Angalao kuna kamwanga kanaonekana japo tunafungwa, na tunafungwa tu kwa makosa ya mabeki, na makosa hayo yanarekebishika.
Aliyetoa hiyo pasi kwenda juu kule ni nani? Napenda wachezaji wa hivyo, unapga pass ya haraka kabla njia yake haijafungwa,hapa Rodry ndio anapowaacha viungo wengi. angekua ghallagah hiyo pass ingerudishwa kw beki.
Madueke bado ni mduanzi, hamna kitu mule, kukimbia kimbia tu na mpira bila akili. Angekua mchezaji mwenye akili kuna mchezaji alishafungua apewe V pass. Sema madueke kwa kua akili amezifugia rasta akaamua kujipgia tu kati.
Kuna uwezekano tukawanunau woteHivi hawa scouts wanaona nini kwa huyo dogo Samu.Timu imegoma kabisa kununua experienced players
Aliyetoa pasi kwenda kwa Madueke ni Lavia nadhani ambaye alipokea kutoka kwa Nkunku ambaye naye alipokea kutoak wka Sterling. Pia aliyempa Sterling mpira ulikuwa mtamu sanaNashangaa wanaolalamika!! Angalao kuna kamwanga kanaonekana japo tunafungwa, na tunafungwa tu kwa makosa ya mabeki, na makosa hayo yanarekebishika.
Aliyetoa hiyo pasi kwenda juu kule ni nani? Napenda wachezaji wa hivyo, unapga pass ya haraka kabla njia yake haijafungwa,hapa Rodry ndio anapowaacha viungo wengi. angekua ghallagah hiyo pass ingerudishwa kw beki.
Madueke bado ni mduanzi, hamna kitu mule, kukimbia kimbia tu na mpira bila akili. Angekua mchezaji mwenye akili kuna mchezaji alishafungua apewe V pass. Sema madueke kwa kua akili amezifugia rasta akaamua kujipgia tu kati.