Hata huyo jude sinamuona akifanya chochote au ndio kma SAMATA TIMU YA TAIFA SIYO KIPAUMBELE CHAKE NI CLUB TU NA HATA MCHELE JANA SIKUMUONAHuyu kocha kakariri sana kikosi hamna kocha pale
Halafu watu wanasema auzwe dah yani wachezaji wanaojituma hatuoni jitihada zao kabisa!!!Marc Cucurella vs Italy
View attachment 3021828
- 51/51 Accurate passes [100%]
- 3 Key passes
- 1 Big chance created
- 4/5 Successful tackles [80%]
- 8/10 Ground duels won [80%]
- 2/2 Aerial duels won [100%]
- 2 Passes into the final third
- 6 Clearances
- 2 Interceptions
- 7 Recoveries
- 0 Dispossessed
- Most duels won: 10
- Most tackles won: 4
- Most rated: 8.5 [Fotmob MOTM]
JUDE hata Madrid si mchezaji wa kuonekana sana,sema faida yake tu anaweza kufunga anapopata chanceHata huyo jude sinamuona akifanya chochote au ndio kma SAMATA TIMU YA TAIFA SIYO KIPAUMBELE CHAKE NI CLUB TU NA HATA MCHELE JANA SIKUMUONA
Si mlisema mfumo wa sasa wa Chelsea haumsikilizi kocha anataka nini bali club inamtaka nani? Mbona U turn ya ghafla sana?Baada ya kuwanunua wachezaji wa kuziba viraka kama Olise, na Striker, pia kuna uwezekano wa kumnunua LW na LB
kutafanyika fagia fagia na mmojawapo aliye kwenye orodha ni Cucurella
Mimi naona akiuzwa ni sawa hata kama anacheza vizuri kwa sasa
Wataalamu wengi wanaojua soka wanakuambia performance nzuri ya Cucurella sio class ni juhudi yake aliyoweka ambayo haiwezi kudumu. Muda wowote atarudi kwenye default
Pia tukumbuke kuwa sasa hivi Enzo Maresca anasikilizwa sana kuhusu wachezaji wanaweza kuingia kwenye style yake na sidhani kama Cucurella ataweza kufit kwenye mfumo huo mpya
Usisahau kabla hatujapandisha dau la kumnunua Cucurella ni Guadiola alimtaka kwanza. Cucu passion based player na wahispaniola wako hivyo si kama akina Chilwel wazee wa kimbia kimbiaBaada ya kuwanunua wachezaji wa kuziba viraka kama Olise, na Striker, pia kuna uwezekano wa kumnunua LW na LB
kutafanyika fagia fagia na mmojawapo aliye kwenye orodha ni Cucurella
Mimi naona akiuzwa ni sawa hata kama anacheza vizuri kwa sasa
Wataalamu wengi wanaojua soka wanakuambia performance nzuri ya Cucurella sio class ni juhudi yake aliyoweka ambayo haiwezi kudumu. Muda wowote atarudi kwenye default
Pia tukumbuke kuwa sasa hivi Enzo Maresca anasikilizwa sana kuhusu wachezaji wanaweza kuingia kwenye style yake na sidhani kama Cucurella ataweza kufit kwenye mfumo huo mpya
Olise ni mchezaji mzuri wa RW LAKINI kumkosa ni kwa faida zaidi. Ninasema kwa faida zaidi na mtaelewa hili baadaye kama sio sasa. Tuna Estevao Willian na Kendry Paez wanaokuja kwenye nafasi hiyo hiyo na wanatakiwa kuingia kwenye main team direct, una Madueke na Gabriel wanaoendelea kukua na una Olise hapoyuko tu kuzuia maendeleo ya vipaji vya vijana hawa wa kizazi kipya. Hapana, hatuhitaji kuweka msisitizo tena kwenye RW. Tuna matatizo na LW na Striker na CB labda! tuweke mkazo hapoOlise off to Bayern baada ya Chelsea kujitoa
Naona sasa tumefikia hatua nzuri ya kutombeleza mchezaji maswala ya mishahara na pesa wanazotaka good.
Halafu mshahara wa £ 220,000 kwa wiki huku Plamer akilipwa £75,000 na kwa data Palmer angeendelea kuwa mzuri kuliko Olise. Wewe unadhani agent wa Palmer angekaa kimya? Yangetutokea yale ya Man United tangu walipomchukuaga Alex Sancez akina Pogba wakaanza kubomoa timu kupitia malalamiko na sumu dressing roomOlise off to Bayern baada ya Chelsea kujitoa
Naona sasa tumefikia hatua nzuri ya kutombeleza mchezaji maswala ya mishahara na pesa wanazotaka good.
Napendelea hii approach waliokuja nao, hakuna haja ya kuanza kumlipa mchezaj hela kubwa halaf uwanjan impact yske ni ndogoHalafu mshahara wa £ 220,000 kwa wiki huku Plamer akilipwa £75,000 na kwa data Palmer angeendelea kuwa mzuri kuliko Olise. Wewe unadhani agent wa Palmer angekaa kimya? Yangetutokea yale ya Man United tangu walipomchukuaga Alex Sancez akina Pogba wakaanza kubomoa timu kupitia malalamiko na sumu dressing room
Pamoja na kuwaasajili wachezaji bora, mshahara bado ni lazima usingatiwe especially kwa wachezaji wapya wachanga i8li kutoondoa morale kwenye dressing room na uwanjani
Safi sana, sasa umakini ni mkubwa kwenye kusajiliHalafu mshahara wa £ 220,000 kwa wiki huku Plamer akilipwa £75,000 na kwa data Palmer angeendelea kuwa mzuri kuliko Olise. Wewe unadhani agent wa Palmer angekaa kimya? Yangetutokea yale ya Man United tangu walipomchukuaga Alex Sancez akina Pogba wakaanza kubomoa timu kupitia malalamiko na sumu dressing room
Pamoja na kuwaasajili wachezaji bora, mshahara bado ni lazima usingatiwe especially kwa wachezaji wapya wachanga i8li kutoondoa morale kwenye dressing room na uwanjani
Hili deal linachelewa sana,tutamkosa
Ni deal done ✅ tayari.Hili deal linachelewa sana,tutamkosa
Dili likishatangazwa na Chelsea maana yake tayari. Iliyokuwa inachelewesha ni document kusaini. Palmeiras walikuwa wanatia ngumu eti ajiunge na Chelsea December 2025 badala ya July 2025Hili deal linachelewa sana,tutamkosa
OkHili deal linachelewa sana,tutamkosa
Hapo sawa dogo namkubali sana ana kipaji atatusaidiaDili likishatangazwa na Chelsea maana yake tayari. Iliyokuwa inachelewesha ni document kusaini. Palmeiras walikuwa wanatia ngumu eti ajiunge na Chelsea December 2025 badala ya July 2025
View attachment 3023334
Dogo ataperformAsije akaflop kama Mudryk