Wamiliki wa kimarekani ni wapumbavu wameua klub nyingi kwa mtindo huu huu. They need to play it safe this time. Vinginevyo FFp is around the corner na academy wa Abramovichi wa kuuza hawatakiwepo tena maana sioni wakiimarisha academy wakati ndo imekuwa ikizalisha faida nyingi kwa club.Tena watamuuza kwa bei rahisi ya pauni mil 25
Mashabiki wengi wanadai hata basi akiuzwa sio kwa bei chee
- Gallagher mil 50
- Broja bei imeshushwa hadi mil 30
- Maatsen RC ya mil 35
- Chalobah mil 25
Mwe mnaangalia mpira. Angalia takwimu za Galagher kama zinamatch na midfield yoyote pale Chelsea. Siyo Caisedo, Enzo, Chukwemeka wala yeyote ameshine defensively and offensively kama GalagherGallagar na challoba wote ni matakataka wauzwe tu hat kwa aftatu tatu itakua biashara nzuri, michezaji gani inajua kukaba kupga pasi haiwezi. Kwa kocha anaejielewa hawezi kuiweka hiyo mizigo kwnye kikosi chake.
Huyu kocha kama niwakuposses mpira hiyo migobole haimfai hata kidogo.
Ake unafananisha na hiyo takataka, Ake hata kiungo anacheza, sasa hiyo kiaz inajua tu kuzuia ndio ukaifananishe na Ake acheni basi masihara.Yaliotutokea kwa AKE yanajirudia kwa chaloba
Isak yule dogo ni clinical finisher na experience na Epl + Hana hype ,so ataperfom better kuliko expensive na overhyped osimhen na asiye na experience ya mtanange wa Epl .Unatamani nani atuwe blues kati ya isak au osimhen kuja kumpa changamoto Jackson
Osimhen akija Chelsea ataflopUnatamani nani atuwe blues kati ya isak au osimhen kuja kumpa changamoto Jackson
We Mwantesa Utd na Flano huwa mnanifurahisha sana na vimbwanga vyenu 🤗🤸Kocha jipya la the blues wanakwambia sio mbinu tu hata makarateka linajua hapa likionyesha staff ya the blues maujuzi liliyona nayo.
🤣🤣🤣🤣Tutacheka sana hapa msimu ujao.View attachment 3005152
mmeshawajibu UEFA kuhusu kushiriki kwenu Europa? au mnatembeza umbeya tu hapa wakati mna shida nyingi hukoKocha jipya la the blues wanakwambia sio mbinu tu hata makarateka linajua hapa likionyesha staff ya the blues maujuzi liliyona nayo.
🤣🤣🤣🤣Tutacheka sana hapa msimu ujao.View attachment 3005152
Mbona tayari Garnucho alishapewa hiyo tuzo ya goli bora la EPL 2023/2024 au nasema uwongo Ndugu zangu?Goli la Moises Caisedo dhidi ya Bornemouth mechi ya ligi ya mwisho wa msimu lapigiwa kura na mashabiki wa Chelsea kuwa goli bora la msimu wa 23-24
HONGERA SANA MOI
View attachment 3005574
Goli la Moi ni la msimu kwa upande wa Chelsea tuMbona tayari Garnucho alishapewa hiyo tuzo ya goli bora la EPL 2023/2024 au nasema uwongo Ndugu zangu?
Kama usajili utakamilika utakua moja kati best transfer zilizowahi kufanywa miaka ya hivi karibuniAngalau Chelsea sasa imeanza kuweka vipaumbele kwa wachezaji warefu kama Tosin Adarabioyo, ambaye ni nyongeza nzuri ikizingatiwa kuwa anajiunga nasi bila malipo.
View attachment 3005728
Angalau Chelsea sasa imeanza kuangazia wachezaji warefu kama Tosin Adarabioyo, ambayo ni nyongeza chanya ikizingatiwa kuwa anajiunga nasi bila malipo.
Na aliyeshinda tuzo huchaguliwa kwa vigezo vipi haswa?Goli la Moi ni la msimu kwa upande wa Chelsea tu
Kura tu ya Chelsea supporters, hakuna kigezo kingineNa aliyeshinda tuzo huchaguliwa kwa vigezo vipi haswa?
Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Hizo kura hupigiwa na Mtu yeyote tu au lazima awe wa klabu yake Mchezaji?Kura tu ya Chelsea supporters, hakuna kigezo kingine
Mashabiki wa kawaidaHizo kura hupigiwa na Mtu yeyote tu au lazima awe wa klabu yake Mchezaji?
Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work
Nimekusoma Mzee BabaMashabiki wa kawaida